Kinachowaangusha The Selecao ni kutokuwa na pure striker wa kutisha kama walivyokuwa akina Ronaldo au Romario
Sina imani na timu za amerika ya kusini, huwa zimejaa majina tu.Mie damu yangu ni Brazil aisee, Tufanye hima 2022 tuchukue maana hatujui Italy nao watakuwa vipi coming years wana 4 worldcups sisi tuna 5
Kama alivyosema mdau hapo juu Selecao Brasileiro kuna pengo la pure namba tisa, ila ninanona sahihi kurely kwa Richarlison kuliko Firmino au Jesus
Vile vile kwing ya kulia mtu wa maana ni Douglas Costa na sio Willian, tukija kati nafasi ya Paulinho inatakiwa ichukuliwe na Renato Augusto. Kwa hiyo midfield inakuwa Coutinho-Fernandinho-Augusto halafu Forwadr line inakuwa Neymar-Richarlison-Douglas Costa
Beki Selecao Brasileiro hatujawahigi kuwa na beki mbovu ishu ni selection ya beki. David Luiz tumpige chini CB wawe Thiago na Maquinhos halafu Right-back Sandro/Fabinho huku Left-back Marcelo/Danilo
Hapo tunaua mpira timu yoyote, ile kutolewa na Belgium Worldcup ya mwaka huu timu yenye wachezaji wa maana wawili tu ni fedheha iliyoniumiza sana
Umeongea kweli tupu na realityMie damu yangu ni Brazil aisee, Tufanye hima 2022 tuchukue maana hatujui Italy nao watakuwa vipi coming years wana 4 worldcups sisi tuna 5
Kama alivyosema mdau hapo juu Selecao Brasileiro kuna pengo la pure namba tisa, ila ninanona sahihi kurely kwa Richarlison kuliko Firmino au Jesus
Vile vile kwing ya kulia mtu wa maana ni Douglas Costa na sio Willian, tukija kati nafasi ya Paulinho inatakiwa ichukuliwe na Renato Augusto. Kwa hiyo midfield inakuwa Coutinho-Fernandinho-Augusto halafu Forwadr line inakuwa Neymar-Richarlison-Douglas Costa
Beki Selecao Brasileiro hatujawahigi kuwa na beki mbovu ishu ni selection ya beki. David Luiz tumpige chini CB wawe Thiago na Maquinhos halafu Right-back Sandro/Fabinho huku Left-back Marcelo/Danilo
Hapo tunaua mpira timu yoyote, ile kutolewa na Belgium Worldcup ya mwaka huu timu yenye wachezaji wa maana wawili tu ni fedheha iliyoniumiza sana
Mkuu hongera kikosi ulichokipanga ndio kimechukua Copa AmericaMie damu yangu ni Brazil aisee, Tufanye hima 2022 tuchukue maana hatujui Italy nao watakuwa vipi coming years wana 4 worldcups sisi tuna 5
Kama alivyosema mdau hapo juu Selecao Brasileiro kuna pengo la pure namba tisa, ila ninanona sahihi kurely kwa Richarlison kuliko Firmino au Jesus
Vile vile kwing ya kulia mtu wa maana ni Douglas Costa na sio Willian, tukija kati nafasi ya Paulinho inatakiwa ichukuliwe na Renato Augusto. Kwa hiyo midfield inakuwa Coutinho-Fernandinho-Augusto halafu Forwadr line inakuwa Neymar-Richarlison-Douglas Costa
Beki Selecao Brasileiro hatujawahigi kuwa na beki mbovu ishu ni selection ya beki. David Luiz tumpige chini CB wawe Thiago na Maquinhos halafu Right-back Sandro/Fabinho huku Left-back Marcelo/Danilo
Hapo tunaua mpira timu yoyote, ile kutolewa na Belgium Worldcup ya mwaka huu timu yenye wachezaji wa maana wawili tu ni fedheha iliyoniumiza sana
Parabens!!!
Kombe liliandaliwa la brazili. Mwanzo mwisho wamebebwa na kila mtu analijua hilo, haya pinga sasa.
Mbona kwenye World Cup hawakubebwa?Kombe liliandaliwa la brazili. Mwanzo mwisho wamebebwa na kila mtu analijua hilo, haya pinga sasa.
Mbona kwenye World Cup hawakubebwa?