CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,968
- 9,546
Brazili hawa watafika mbali sana mwaka huu. Halafu kuna tetesi kocha wao ndo anaenga kumrith Zidane pale Real Madrid
Leo wamecheza kwa discipline sana japo mechi haikuwa Serius sana.Ilikuwa kama mazoezini tu,kila team ikiogopa mchezaji kuumia.Russia wakikaza watafika mbali sana.Kipaji tu hakitoshi kubeba kombe,Inatakiwa Discipline na kujituma sana.Brazili hawa watafika mbali sana mwaka huu. Halafu kuna tetesi kocha wao ndo anaenga kumrith Zidane pale Real Madrid
Kesho Brazil anafungasha viragoFact. Zamu yenu kesho na wazee wa ngada/Mexico.
Kesho Brazil anafungasha virago
Mwaka huu wanasindikiza tuMashoga wale mbwembwe nyingi.
Mwaka huu wanasindikiza tu
Brazil kasusiwa Kombe,Mexico ndo anatokaKesho Brazil anafungasha virago
Hahaha,Wapi Argentinaa...timu mbovu kuliko zote world cupMashoga wale mbwembwe nyingi.
Umepata pa kujificha baada ya Messi Co,ltd kuonyesha ubovuKabisa.
Kesho Brazil anafungasha virago
Ataanzaje kufungasha,wakati Timu nyingine zimemsua kombe Brazil?
These are brazilians ..movingi in and out field