Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
- Thread starter
- #281
Operação hexa. Let's go.
Mashabiki pia haoTimu ya wanawake na watoto
Mpaka muda huu dk 86
Brazil 1 vs Croatia 0
Mfungaji Neymar
Argentina!!!!!? naomba uninukuu hapaKwa friendly match tu hawajambo hawa shemeji zangu. Ngoja WC tu. Watapigwa mimba nyingi sana.
- Germany mashine
- Argentina La seleccion
- Spain wazee wa tiktak/one two
Argentina!!!!!? naomba uninukuu hapa
"hawa jamaa wakichukua kombe nasitisha uanachama wangu wa miaka 6 hapa JF"
Ni kama Demu mzuri lakini hazai.Hivi unaichukuliaje ARGENTINA? Ni kama taifa stars eti!!
Ni kama Demu mzuri lakini hazai.