thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,867
- 4,859
Tukutane kwa putin.Sawa. Huyo brazili wako hatafika nusu..mark my words, na hii comment itakuwa shahidi.
Tukutane kwa putin.Sawa. Huyo brazili wako hatafika nusu..mark my words, na hii comment itakuwa shahidi.
Tukutane kwa putin.
Punguza maneno ya kanga,andika kistaarabu kama mwanaume utaeleweka/unless yo'are a woman.Kwa friendly match tu hawajambo hawa shemeji zangu. Ngoja WC tu. Watapigwa mimba nyingi sana.
- Germany mashine
- Argentina La seleccion
- Spain wazee wa tiktak/one two
Punguza maneno ya kanga,andika kistaarabu kama mwanaume utaeleweka/unless yo'are a woman.
ana mafunzo ya ramosCassemiro bangi zinampeleka pabaya
Tuanzie hapa kwanza...Siku zote kabla ya mashindano kuanza. Tunaambiwa Brazil mabingwa lakini yanapomaliza huwa wanatilisha huruma.
Tuanzie hapa kwanza...
Ni nchi gani inaongoza kwa kuchukua kombe la dunia mara nyingi..?
Hawa Austria siyo wa mchezo,Germany mechi ya kirafiki alikula 2-1.Austria mechi zao zote 4 za mwisho wameshinda.Mechi ya Mwisho ya Kirafiki Ya Brazil itachezwa Jumapili mnamo saa 11 kwa saa za afrika mashariki.
View attachment 797712
Nacheki hapa,vijana wanapiga soka safi tuu.Hawa Austria walimpiga German,so sio wa mchezo hata waoMpaka muda huu brazil anaongoza kwa goli moja mfungaji ni Gabriel Jesus
bao likifungwa dakika ya 36 ya kipindi cha kwanza.
ila hawa brazil wakati mwingine hawaelewekiNacheki hapa,vijana wanapiga soka safi tuu.Hawa Austria walimpiga German,so sio wa mchezo hata wao
Hapo sasa mkuu,Ila wakicheza kwa discipline,Naamini watafika mbali.Tatizo hawa vijana mpira wanaujua ila shida ni Discipline na kuchukulia mpira kitu rahisi.ila hawa brazil wakati mwingine hawaeleweki