Ukivunja utafaidika?
sana!:A S 39:
Utu wako?ndio nini?usimame tena
hebu fafanua nikuelewe vizuri!
I dare you.....
ulezi unaendelea vizuri na mtoto namuweka masikio mwenyewe!
huh!!! unaniangalia kwa wasiwasi sio?!?!?
Anataka na wewe akupange kama mshkaki....stuka!
Anataka na wewe akupange kama mshkaki....stuka!
poa poa1 angalia yasijekuwa makubwa na meusi kuliko viungo vyote!!!
mpe salaaam afu nimekumiss ujue,,,,
Taratibu maana wajua pumzi zangu ndio maana wote mnaenea bila shida.....
nakuelewa sana Vin Diesel ila wewe ndio hujielewi:nono:
anyway, :tape2:
Yatakuwa kama yakwangu! Namimi nimekumiss ndio maana naangalia namna unaweza kumsaidia waifu tukikutana!
Kwanza hujielewi sana tu.....unapigiwa simu hupokei....
Tena usiku...watarajia nini....mbaf