Namsaka sana huyu mchumba...tangu tuanze mahusiano amekuwa adimu sana
Niamini kwamba unanipenda au?
Ngikeri kasini mwanammeku. Ngire nocha ya bia mpaka baasi!@
Hakyanani Vin Diesel situmi kopi kwa Erickb52 leo! Nimeamua tu.
Niambie basi kitu kizuri darling.......
Apate wapi mke vin? Tangia sweetlady ampige chini shauri ya ukware ndo basi tena.
Kopi: Asprin ( we ndo umemfundisha Vin Diesel uzanga).
Mshaanza fitina zenu wewe Asprin nan Vin DieselNna mashaka na Mtambuzi. Huyu mzee alimbana sana huyu mchuchu. Kila nikitaka kutongoza, Mtambuzi huyu!
Damn! Mtambuzi anatisha kama Mwakyembe.
kwani sie tumeshawahi kuachana kama wengine hii ndo jf couple of the year full kupendana
Mshaanza fitina zenu wewe Asprin nan Vin Diesel
hamjui King'asti akiona hii maneno atamwambia mama Ngina pachimbiki nyumbani, hebu niwacheni nipumuwe......................
Naikumbuka sana hiyo hadithi,inamlenga Vin Diesel kabisaaaa!Si unajua ile stori ya fisi aliyealikwa harusi mbili akaishia kukosa zote?
King'asti anajua kuna wageni matata ulituletea?Mshaanza fitina zenu wewe Asprin nan Vin Diesel
hamjui King'asti akiona hii maneno atamwambia mama Ngina pachimbiki nyumbani, hebu niwacheni nipumuwe......................
Naikumbuka sana hiyo hadithi,inamlenga Vin Diesel kabisaaaa!
Sijui kwanini tuliachana.....hebu rudi nyumbani wewe nafasi bado ipo..
wewe lupango ndio size yako,mtaani umeshindikana
Mmmmmwwwwwaaaaa!!!!!!
Kopi: Ruhazwe JR ....aka hashim wa jf.....andaa shindano la kapo of the year.