The secretary........

hapa si ni thread ya The secretary na Bishanga tuu?? wengine naomba tutoke nje... tuwaachie privacy wahusika
 
Last edited by a moderator:
erick na mwaminifu malizieni methaali hii...'mtanga na njia.....'.
SS na charminglady wala msijali mashankupe hao hawataki niwoweee.
TS acha kuniua taratibu mtoto wa mwenzio,tumetoka mbali ati,au umesahau enzi zile tunacheza kidali poo.
Btw unaonaje ukija hongkong,mi naweza kushuka hapo fasta na Emirates ,nikuletee tiketi ya first class Air Asia?
 
ha ha ha.

Wamependeza hawajapendeza

wamependezaaaaa

bishanga amependeza hajapendeza
kapendezaaaaaaaaa


The Secretary amependeza hajapendeza
kapendezeaaaaaaaaaaa

basi walishane keki za ulimi





(ulimi wa ng'ombe)

Wameungana na nani?huu mtalimbo umekushinda unataka kuniachia mimi. we ulitakawia kuungana naye .let it go but still reject
 
The Secretary,unamwona nyani ngabu anavyotuchonganisha,eti nikupe funguo za gari mi nipande bajaj? We mwache tutamfungia kazi na matarumbeta akasutwe.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha.

Wamependeza hawajapendeza

wamependezaaaaa

bishanga amependeza hajapendeza
kapendezaaaaaaaaa


The Secretary amependeza hajapendeza
kapendezeaaaaaaaaaaa

basi walishane keki za ulimi





(ulimi wa ng'ombe)
konnie nakupendeaga hicho,ahsante kwa sapoti.
 
The Secretary,amka darling tuwahi st peter.
 
We wahi tandale kwenye biashara zako

The secretary! Hapa umemsingizia! Huyu bwn mi nishamuona takriban mara 4 hivi akiwa kwenye misafara ya Mkulu, alafu awe Tandale tena?
Mtake razi !
Alafu we Jibaraguze kuitumia hii nafasi akupayo!
Utakuja kumbuka shuka na Jua liko utosini, shauriro.
 
arrrroooooo judjement ujue una mibusara ya mfalme suleiman.
 
dunia ina mambo, ukute na wewe unaitwa 'baby' afu unaitika.
we bado una hengova wewe,jana mataputapu,ulanzi na komoni ulifakamia mikopo mingapi? Nasikia kwa mama muuza ulimalizia na ka fanta.
 

Mwe! huyu mwingine kwenye safari ya mkulu labda kama mpiga makofi hii nafasi hampi mtu bali huwa anapewa ndo hivyo anakimbiwa na kila mtu na mindizi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…