The secretary happy birthday aise
Leo tukutane wapi sasa kukata hiyo cake
Happy birthday The secretary
Haah shost, kuzaliwa tu nakutoa maneno makali:::
btw.. Nakutakia maisha marefu yenye furaha na amani
HAPPY BIRTHDAY!!!!!
hapa ukilemaa unaibiwa mume
hapa ukilemaa unaibiwa mume
wakikuibia na wewe unawaibia wakwao
Loooh..pole sana, it's her time acha aendeNimeachia mtoto dear ndo namywesha maziwa,wife kenda kujirusha.
Yanakutoka mdomoni bibi harusi mtarajiwa Lady doctor?
Kopi: Arushaone.......umemsikia mtarajiwa wako? Kwa mtaji huu nakushauri usepe!