jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Maybe an I wouldn't be suprised.
Let's me see, who in his right mind would not want to refer to actual facts when it comes to Rwanda's supposed development? mhhhh?
Maybe an I wouldn't be suprised.
Shangaa hapo, hata London sio kwamba wamepiga marufuku bali wameweka tozo maalum. Hawajakataza. Ni uzamani kuamuliana chombo cha kutumia.
mkuu waache wapige kelele lakini kama unavyojua kelele za chura... hivi tunavyoongea barabara tusha zi clear na wenye akili watatengeneza pesa zaidi, yetu macho... in a mean time #KigalicarfreezoneAsante sana mkuu mchambawima1.
Ndugu zangu MK254 sam999 maswety Jack Daniel's mukuje huku muone nilichokuwa ninakisema hapo awali. LOL
Kigali will be the first city in Africa where people are not free to choose what type of transport they want to use.Imagine you draw from the bank milions of money to pay your casual labourers.,Then you are forced by Kagame to use a bus instead of your car with bags of money you drew from the bank!!!!!
Some people like to live private live that is why they have private cars!!! Denying their right of privacy is dictorship of the highest level!!
School buses hizo za yellow ziko duniani kote ziwe za kulipia au bure hata Tanzania yellow buses zipo kwenye baadhi ya mashule.Lakini uwepo wa bus hizo hauzuii mzazi mwenye upendo na mwanae kumpeleka kwa gari yake.Hata uingereza mfano tony blair akiwa waziri mkuu bado alikuwa akimpeleka mwanae shule kila siku yeye mwenyewe kwa gari yake pamoja na kuwepo yellow buses kibao!!!
Swala ninalopinga ni kuingilia uhuru na demokrasia ya mtu binafsi kujiamulia aende na gari yake au basi.Mwanae apande gari ya shule au ampeleke mwenyewe? Mfano tanzania mabasi ya shule baadhi ya shule wanayo na nauli inakuwemo kwenye ada ya shule ya kila mwanafunzi.Lakini pamoja na hilo mzazi unakuta hataki mwanae apande gari ya shule pamoja na kuwa kalipa anataka ampeleke na kumrudisha mwenyewe.Ni personal choice.Ninachokataa ni udikiteta wa kulazimishana kwenye ulimwengu wa demokrasia iliyoko sasa.
mkuu waache wapige kelele lakini kama unavyojua kelele za chura... hivi tunavyoongea barabara tusha zi clear na wenye akili watatengeneza pesa zaidi, yetu macho...
kabisa! na ndio maana wazungu wanatumaliza kwa democracy kwani wanajuwa vema ya kuwa mijinga ni mingi katika jamii zetu... tena huwa migumu kuelewa, sometimes inabidi tukubaliane na welevu tuliojichagulia... leo hii tunatanua ndani ya Kigali downtown kwa sababu ya wachache welevu wanaojuwa kuchukuwa maamuzi magumu, for sure Rwanda is a role model https://www.youtube.com/watch?v=54CZBc3mbwQMkuu Kigali carfree zone inapendeza sana.
Unajua jana niliweka mada kuhusu jiji la Nairobi na kwamba inawezekana kuondoa msongamano kama kuna political will nikabishiwa eti CONGESTION IS INEVITABLE. Wakati huo ilikuwa sijajua huu mradi wa Kigali. Sasa nilipoona bandiko lako nilifurahi sana. Ilikuwa kama utabiri wangu umepata uthibitisho instantly.
Nakuambia mkuu Kigali itakuwa a world-class model ya city transportation management. Mtatuona huko tukija jifunza hizi best practices ambazo wengine tunaziandika tu kwenye majarida na tunadharauliwa wakati Kigali imetimiza.
Kudos.
Absolutely, naunga mkono hoja kulingana na nchi ndogo kama hiyo wanaangalia mataifa makubwa na kuona wanavyohangaika na msongamano wa magari mjini.
Mayor wa jiji la London alileta congestion charges na imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana na bei imepandishwa tena kuingia mjini na flow ya magari ni nzuri,
Kwa kuwa sijafika Kigali siwezi jua ni ukubwa gani wa jiji ambao umepigwa marufuku
Tatizo letu hapa hatutatui tatizo kwa kuiga wengine bali tunaona ni kawaida tu.
Let's me see, who in his right mind would not want to refer to actual facts when it comes to Rwanda's supposed development? mhhhh?
Hizo ni picha mbili alaf jamaa mmoja katokea mara mbili,i mean hao watu walikaaa wakijua wanachukua picha kwa lengo ganimkuu waache wapige kelele lakini kama unavyojua kelele za chura... hivi tunavyoongea barabara tusha zi clear na wenye akili watatengeneza pesa zaidi, yetu macho... in a mean time #Kigalicarfreezone
![]()
![]()
Hizo ni picha mbili alaf jamaa mmoja katokea mara mbili,i mean hao watu walikaaa wakijua wanachukua picha kwa lengo gani
Suluhisho ni kuwachagua viongozi wanaoweka wanaanchi mbele sio vitambi vyao.Rwanda inazidi kupiga hatua very soon itakuwa na uchumi wa juu kuliko kenya,nasi tz tunashikilia mkia,AIBU ILIYOJE kanchi kadogo,kanaiba madini drc na tz halafu kanawapa maisha bora kila raia wake. wabunge UK huwa wanatumia Public transport ,sisi TZ wanapana 4x4 na land cruisers kwani barara ni mahandaki matupu tena ktk capital city:mad2::smokin:
Rwanda inazidi kupiga hatua
Hizo ni picha mbili alaf jamaa mmoja katokea mara mbili,i mean hao watu walikaaa wakijua wanachukua picha kwa lengo gani
Sera ya kupunguza magari private si nzuri hata kwa uchumi.Sehemu kubwa ya kodi za serikali hutokana na mafuta hasa ya petrol.Magari yanavyokuwa mengi yakitumia petrol ndivyo serikali inapata pesa nyingi sana za kodi za kujenga miundombinu kama barabara n.k
Nchi zinazozingatia demokrasia huwezi mpangia mtu apande gari gani!!!! Mabasi yanavyojaa,watu kunukiana majasho,kukoholiana,kujambiana ushuzi bila kusahau vibaka wa mifukoni ukipanda,ukiwa ndani ya basi na ukishuka sidhani kupiga marufuku private cars ni kuwatendea watu haki
habari za rwanda huwa ni full PR