Me najitolea kuwa mhamasishaji wa kuchangia hadithi hii.....Kama unajijua unapita hapa kujiburudisha iwe live au Kimya Kimya plssssss weka chochote kwenye mamba tajwa. Kumbukeni mhusika anatumia muda na akili kuhakikisha tunaburudika
Namba IPO ngoja Jamii Forum aiweke.Kwa kuwa umeamua kujitolea kuhamasisha, unaonaje nikipitishia mchango kwako
Weka namba yako hapa basi tukutumie:eyebrows::eyebrows:
Namba IPO ngoja Jamii Forum aiweke.
Heheheee we unaka kuchanga kweli???? Mchagua jembe si mkulimaYako wewe,
Heheheee we unaka kuchanga kweli???? Mchagua jembe si mkulima
We km Una nia changia kwa namba hizo hapo tajwaMe nitakuwa mkulima wa kwanza kuchagua jembe😀😀
Huo ni mwisho wa Episode No 9 namba 10 inakuja Juma 5. Mwisho bado kabisaaaaaa naziona kama Episode 50 hivi mbele.
Nilikua nabadilisha tu jinsi ya kumaliza Story. nashukuru kuona hii stori inasomwa na maprofessional wengine kama mizambwa I appreciating you kaka jaribu pia kuni advice how Can I Improve.
everlenk,
Mrembo by Nature
Gunda66
Khantwe
na wasomaji wangu wote nawapenda sana.
Mchango mchango mchango,..... Jamii Forum weka namba tena ya mpesa na tigo pesa. Usiendelee na sehemu nyingine km hakuna kilichoingia kwenye namba
Mimi binafsi toka mwanzo ni mdau wake ila napata shida kidogo majina yetu halisi yatajulikana,sijui tufanyeje juu ya hili?
Mimi binafsi toka mwanzo ni mdau wake ila napata shida kidogo majina yetu halisi yatajulikana,sijui tufanyeje juu ya hili?
Sidhani sababu hata kama jina halisi litajulikana still bado identity yako ya humu ndani haitojulikana
Mi nimekutumia kwa Mpesa sema jina lililokuja huko huwezi lijua lipo tofauti na lililopo hapa ,
wengine nanyi tumeni basi apate muudi ya kuwasilisha mawazo yake