Muogopeni Mungu jamani........Mungu atukuzwe.
Haya mapesa yangetumika, just Nusu tu kama si robo kuondoa matatizo ya maradhi ya maralia na umaskini Duniani, tungejuwa kweli hawa ni wanasayansi na wanajali...!
Kuna wakati fulani Yesu alimponya mtu mmoja mwenye ukoma; akamwambia "nenda kwa makuhani ukajioneshe". Lengo lilikuwa ni kuthibitisha kuwa ameponga kweli na haikuwa hoax.
Wakati mwingine alimponya mtu mmoja aliyezaliwa kipofu. Wakuu wa Makuhani waliposikia habari hiyo hawakuamini na wakawaita wazazi wa huyo jamaa na kuuliza habari zake. Wale wazazi wakasema "yeye ni mtu mzima muulizeni mwenyewe". Yule bwana alipoitwa akawaambia kuwa "mimi sijui kama huyo aliyeniponya ni mtakatifu au la, ninachojua ni kuwa nilikuwa kipofu na sasa naona".
Katika mifano hiyo miwili utaona kuwa kwenye mambo ya miujiza kufanya uchunguzi siyo kukana miujiza bali kuondoa uwezekano wa uongo. Ninaamini miujiza lakini miujiza yote inafanywa kwa kutumia vitu vya asili. So, kuhoji suala la misukule si kukana uwezo wa Mungu kutenda miujiza bali kuthibitisha nguvu hizo na kuzikiri lakini wakati huo huo kuondoa uwezekano wa roho ya mwanadamu kujikweza na kujiinua na kujisamamisha mahali pa Mungu!
Please stop with the sophistry.The Higgs Bosom will be confirmed, I am beting my shirt on that. In any case it is just a manifestation of the different pertubations of the underlying superstrings, not really a particle but a state of strings, hence the never ending zoo of particles that made Professor Gell-Mann compare particle Physics with botany way back in 1954.
And all apocalyptic doomsdaymongers should remember that a man can never be weighed down by one hair on his head. let's harness and probe the basic power of and nature of nature.