the script wanaimba sana.

Aisee mkuu Red Giant thanks for sharing umenikumbusha mbali sana.
Hii album ya the Script inaitwa 3 ni ya mwaka 2012, Hall of fame Ben Pol aliiga idea zake.
Kuna albm yao ya 2014 inaitwa No Sound Without Silence ni balaaa.
Ngoja niweke baadhi ya nyimbo uzisikilize.
 
Energy never dies

Superheroes

Flares

Hail rain or sunshine

Kaka nimesikiliza Album zao zote ila hii kwangu ndiyo imekaa vizuri sanaa sijapata kuona.
Yaani huwa sijuti kutupa hela kutafuta album zao.
Red Giant hivi umewasikiliza BASTILLE?
 
kweli aisee jikubali inaendana sana na hall of fame. kwenye No Sound without silence Flares inaniliwazaga sana.
 
kweli aisee jikubali inaendana sana na hall of fame. kwenye No Sound without silence Flares inaniliwazaga sana.

Mimi siku ya kwanza naisikiliza nikajua ametohoa kutoka the Script.
Uzuri jamaa mwenyewe ni mstaarabu alikubali kufanya hivyo.
 
sijabahatika kuwajua BASTILLE. ngoja niwatafute.
 
sijabahatika kuwajua BASTILLE. ngoja niwatafute.

Pompeii

Things we lost in the fire

Of the night

Laughter lines

No Scrubs (originally sung by TLC)

Hawa jamaa mwaka 2012 nyimbo zao zilikaa sana BILLBOARD na BBC UK TOP 40.
Watafute mkuu.
 
mkuu Malcom shukrani kwa kushare nimeisikiliza sana Flaws. saa hizi nasikiliza laughter lines on repeat. jamaa wazuri sana. keep on sharing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…