It's a pity.
Mimi si mpenzi wa magical realism, genre ya Rushdie, ilaRushdie ni mmoja kati ya waandishi wanaojua kuichezea lugha ya Kiingerezampaka ukisoma anavyoandika utafurahi. He is a genuinely intelligent iconoclast.
Kuna siku walikuwa wanakandia habari za dini Bill Maher show, Maher being an atheiist and all, it was almost a boring chorus.
Mimi nikawa najisemeakimoyomoyo, surely they can't all be thinking alike, someone has to come with an alternate view to show a different side.
Surely enough, ikawa kama vile Rushdie kanisikia, akasema yeye anapenda Rastafarians wanavyoamini Mungu wao kivyao vyao tofauti na Ukristo mainstream, ni dini, wanaaminiMungu, lakini kiselasela tu.