Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
hiki kidada kimekauka sana banaa hata mvuto unapungua aahh
hiki kidada kimekauka sana banaa hata mvuto unapungua aahh
Portable bhanaaaaaaa MR 🙂...lakini kusema kweli kamekaukiana kupita kiasi kanabidi kaongeze lishe lakini kwa Wazungu ndio kamependeza hivyo na english figure yake.