The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

kuna dada mmoja yuko upande wa wanakwaya anaimba huku analia,....( nina maswali mengi kweli juu ya kulai kwake)

........atakuwa anamkumbuka Diana huyo, hata mie ningetamani Diana angekuwa hapo akimuona kijana wake anaoa. R.I.P Diana
 

attachment.php

A memorable event for all kinds.
 
Hahahah, nimecheka sana baada ya kusoma hii post lol... Nadhani amekuelewa sasa!
Mkuu najua she was right from the beginning but credit should be to someone who deserve it. Sarah Burton ndio aliyedesign hiyo nguo pale Buckingham Palace kwani hiyo nguo haikutoka pale ila ndio she is from Alexander McQueen House
 
Maustadhi kutoka Saudia naona ndani ya kanisa...
20-30 kutoka leo Mungu akipenda tutashuhudia ndoa ya mtoto wao...!!
 
Mkuu najua she was right from the beginning but credit should be to someone who deserve it. Sarah Burton ndio aliyedesign hiyo nguo pale Buckingham Palace kwani hiyo nguo haikutoka pale ila ndio she is from Alexander McQueen House
Duh sasa unakiubali na unakataa nini?
 
mmh! swali gumu ila ndio hivyoo, fanstasties zimeisha leo mana is like chasing the very last train,when you know its too late:)

Hahaha! apo ungekuwa ww au Michelle najua kudadadeki UK waTZ wote tungekuwa tunatinga bila VISA wala 'is was' sentence zetu zisingekuwa kigezo cha kutunyima kuingia London...si twaend a kwa shemeji bana?.

Lete alone Man Utd na Arsenal bongo ingekuwa kama uwanja wa nyumban, kila pre season wanakuja kucheza na simba na yanga...lmao!

Mlizubaaje na nyie?
 
Wakuu...

RA & EDO vipi hawapo hapo... namwona mkenya fulani na David & Posh... kuna mtu amewaona anijuze?
 
Back
Top Bottom