The roman catholic church is the richest organization in the world! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The roman catholic church is the richest organization in the world!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fazili, Jun 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. f

  fazili JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Kila Mkatoliki akitoa sadaka ya shilingi 1 tu kwa siku Kanisa Katoliki litakusanya zaidi ya shilingi milioni 1200 kwa siku!


  Kama Kanisa Katoliki likiamua kuuza mali zake zote, dunia itatoa fedha zote ilizonazo na kuishiwa, viwanda vya kutengeneza fedha vitafanya kazi kwa miaka 3 mfululizo ili kujaribu kupata fedha zenye thamani ya utajiri wa Kanisa!

  Impossible to say. The Catholic church as an ancient organization, can't possibly put a price tag on some of its art, buildings, land, etc.

  Both are worth billions.

  I'm going to say the Catholic church hedges out Microsoft, simply due to sheer numbers of buildings, land, Hospitals, Schools, etc.

  The Catholic Church is a functioning organization that needs money to operate. She has properties, artifacts, priceless art, etc. that all come together as part of the net worth. No one knows for sure how much that is.. not even the Church itself.

  In order for the Catholic Church to do all the good it does, it needs money to operate. If the Church were to sell everything, the money would run out and the Church would not be able to continue all the schools, hospitals and charities it currently runs.

  The Catholic Church educates 2.6 million students everyday, at cost to the Church of 10 billion dollars, and a savings on the other hand to the American taxpayer of 18 billion dollars. Needless to say, that Catholic education at this time stands head and shoulders above every other form of education that we have in this country. And the cost is approximately 30% less.

  Catholic schools graduate 89% of students. Those graduates in turn go on to graduate studies at the rate of 92%, and all at a cost to the Catholic Church. To the rest of the America it's free.

  It costs Catholics at least 30% less to educate students compared to the costs that the public education system pays out for education that cannot compare.

  The Catholic Church thas 230 colleges and universities in the United States with an enrollment of 700,000 students.

  The Catholic Church has a non profit hospital system of 637 hospitals which account for hospital treatment of 1 out of every 5 people not just Catholics in the, United States today.

  The Catholic Church clothes and feeds and houses 1 of 5 indigents in the United States, and no one asks them if they are a Catholic, a Protestant or a Jew; just "come, be fed, here's a sweater for you and a place to sleep at night" at a cost to the Church of 2.3 billion dollars a year.

  The Catholic Church today has 64 million members in the United States and is the largest non-governmental agency in the country. It has 20,000 churches in this country alone. Every year they raise approximately $10 billion to help support these agencies.


  Na hii ni tathmini ya utajiri wa Kanisa Katoliki Marekani pekee yenye wakatoliki milioni 64 tu achilia mbali nchi nyingine zilizobaki ambazo wakatoliki kwa ujumla ni zaidi ya milioni 1200!
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa inatusaidia nini? Ingekuwa data ulizotupa ni za Bongo afadhali ningekuelewa!! Sasa unaleta hapa habari za Marekani???
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Thanks to Jesus Christ- God
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama sikosei approximately 25% ya majengo ya Italy yanamilikiwa na the catholic church. Unaweza kukuta jengo ni linatumika kwa biashara kumbe landlord yuko Vatican!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii thread MS akiiona sijui itakuwaje
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona huu ni mwendelezo wa Serikali ya JK kuyaandama makanisa ili "kupambana na udini;" maana thread kadhaa zimeanzishwa humu zenye mwelekeo huo mara baada JK kutangaza vita dhid ya madawa ya kulevya!
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Ufunuo 3:17 kwa kuwa wasema mimi ni tajiri, nimejitajirisha, wala sina haja ya kitu, nawe hujui ya kuwa, u mnyonge, na mwenye mashaka, na maskini, na kipofu, na uchi.
  Ufunuo 18:9-20.
  .
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  by the 1500s,the church was more than 1500 years old,it was by that time,the oldest and best established institution in the whole western world,with age and growth,it had become so rich and powerful that it was feared by monarchs and commoners alike.for over 1000 years the church trained Europe's diplomats,judges and other leaders,the latin language,which the church preserved,served to unify Europe,and this unity was reinforced by the beliefs that European christians shared.during the middle ages,one of the ways of a person could be freed from some or all of his or her sins was to be granted by the church an indulgence or pardm,the person had to undertake a crusade or pilgrimage,say certain prayers,or even cmtribute money to the church however,some members of the clergy simply sold indulgences.the widespread sale of indulgences was the immediate cause of the PROTESTANT REFORMATION.to be continued.......
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Heheheh! hawezi changia atasepa tu na malapa yake hahaha!
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  teh teh teh
   
 11. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tajiri kuona ufalme wa mbinguni, ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu mengine yote mtayapewa kwa ziada...........
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Rudi juu SOMA vizuri..Uone jinsi wanavyotumia Huo utajiri kusaidia watu .Na si wa katholic tu ...
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kuna tofauti ya utajiri wa kimwili na utajiri wa kiroho. Kuna matajiri wengi sana duniani lakini si matajiri wa kimwili ila wa kiroho. Mfano ni huyu mama Oprah Winfrey mtoto wa mzee Vernon Winfrey, anajulikana kama mmoja wa wanawake matajiri sana duniani lakini kwake ni tajiri wa rohoni na utajiri wa mali hao kama ana kitu ila baraka ya Mungu kuwafaa wengine.

  Wiki mbili zilizopita alipokuwa anastaafu kazi yake ya maonyesho alilia machoni bila kujua kilicho mbele yake walipopita mbele yake mamia ya wanafunzi na wahitimu wa vyuo mbalimbali ambao wamesomesha au wanaendelea kusomeshwa na Opray. Pamoja na kutojaliwa mtoto hazina ya moyo wake na utajiri wa rohoni umemletea kuwa na utajiri wa watoto asiozaa mwenyewe. Baba yake mzee Winfrey alivyo mcha Mungu,mnyenyekevu na asiyejikweza na anaendelea na biashara yake ya barba shop iliyomsomesha Oprah kufikia alipo.

  Utajiri wa Kanisa Katoliki si kwa mtazamo huo, bali tazama huduma za kijamii katika nyanja zote za elimu afya nk. Utajiri wanaoongelea hapo ni kinyume na uelewa wangu, ninachofahamu utajiri ni wa roho za watu na wenye kukirimia kanisa liweze kuendesha huduma za kimwili na kiroho kwa watu duniani. Kuna watu katika nchi zilizoendelea wanatoa urithi wa mali au majengo kwa kanisa ili wengi wahudumiwe badala ya mtu fulani ambaye ataishi kwenye matanuzi binafsi yasiyowanufaisha wahitaji halisi.
   
 15. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Atawa-organize waislam ili wawe the largest organization in the world. Nasikia idadi yao zaidi ya billion 2, sasa kila mmoja wao akitoa dola 1 kwa mwezi watakuwa wanaingiza zaidi ya dolar billion 2 kwa mwezi. Kwa mtaji huo watajenga universities, hospitali, mashule nk duniani kote na bado watabakiza chenji ya kulisha maskini huku kwetu bongo. Raslimali wanazo tatizo tu organization, MS atawasaidia kwa hilo
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Malaria sugu awa-organise waislamu "kutoa dola moja ili wajenge universities na hospitals"? Yaani siku zote wanamsubiri yeye kumbe! Kama ndio hivyo basi watasubiri sana.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kwenye huo utajiri Chadema wanapewa kiasi gani kwa ajili ya kuimalisha chama, na pesa zingine zinatoka kwa Chama cha Kikiristo cha Ujerumani (CDU)
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  "Richest Catholics"
   
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  hate preacher
   
 20. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine kuongeza ufahamu wa mambo ni muhimu...nimefurahi kufahamu hilo ingawa mie si mkatoliki.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...