The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
Hao Ghana washalipwa posho zao? maana ki.mavi cha timu za Afrika uwa kinaanza na posho, aibu ilioje!!

Viongozi wa Soka Afrika sijui huwa wanafikiria nini?? Eti Uzalendo...mpira kazi...mkuu bora tushangilie Timu za Wenzetu tu.
 
Tatizo la tbc hawataonesha game zote watakua wanachagua game za kuonyesha tbc1 na nyingi zitakuwa zinaoneshwa kupitia tbc2 kupitia king'amuz cha star times ila azam tv kupitia chanel ya mbc3 watakua live game zote..

Haitakuwa fair kwa Tv ya taifa kuonyesha mechi nyingi kupitia tbc2, sisi wa mikoa ambayo haijaunganishwa na mitambo ya startimes wanatufikiriaje? Nchi hii ina mikoa 35 tbc2 inapatikana mikoa isiyozidi 15 tu, tena makao makuu ya mikoa tu, kwenye wilaya zake hawapo!
Ushauri, tbc kama tv ya taifa inayogharamiwa kwa kodi zetu wote wa mijini na vijijini, irushe michuano hii kupitia tbc1 ili watanzania wote waweze kufurahia michuano hii.
 
Duh kumbe Bongo kuna mikoa 35, I'm very out of touch. inaelekea jinsi population inavyoongezeka ndivyo na mikoa inavyoongezeka.anyway kwa jinsi navyoijua bongo watu wa vijijini,mikoani na maskini hawahesabiki wala kujaliwa hadi kipindi cha uchaguzi ambapo wagombea wenu watakuja na ahadi feki na kudai waliwaletea manyunyu ya mvua yasiyoweza kukata kiu cha Jua halafu mnawapa kura
 
Ndio mkuu, tunayo mikoa 35 sasahv, 30 bara na mitano visiwani, hao startimes na tbc2 tu yao wanacover below 35% ya watanzania wote! Not fair! Mechi zirud tbc1 hadi huku isenye serengeti tunahitaji kufurahia tv yetu ya taifa!
 
Ikiwa imebaki takribani siku moja, dunia inatarajia kushuhudia mashindano ya kombe a dunia yatakayofanyika brazili kuanzia june 12. Mimi binafsi navutiwa sana na rangi za jezi za nchi zifuatazo: 1. Itaia 2. Brazil 3. Spain 4. Uholanzi 5. Ufaransa 4. Sweden 6. Nigeria 7. Ureno 8. Ujeruman
 
Mechi ya ufunguzi itapigwa tarehe 12.06.2014 saa tano kamili usiku(2300hrs) kwa saa za afrika mashariki, kati ya wenyeji hawa na croatia.cha muhimu hapa ni kwamba hakuna timu ndogo katika fainali hizi. Brazil anaweza tolewa jasho mpaka mkamuonea huruma.
Vipi utabiri wako?
 
Hayahaya KUMEKUCHA!

HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA.

WALE WNAODHANI TIMU NYINGINE ZIMEENDA KUSINDIKIZA NYENGINE WATASHANGAA.......

MATOKEO YA MCHEZO WA FNGUA DIMBA : BRAZIL 1 CROTIA 2

MPO HAPO?
 
na ndio hapo kipenga cha mwisho kumaliza mchezo wa fungua dimba kinapopulizwa na kuwaacha mashabiki na wapenzi wa soka midomo wazi huku uwanja wa maracana nchini brazili ukiwa umepoa kama vile wapo nyumba ya ibada wakisikiliza mawaidha!

Na ndio hapo wengine waliolala pasipo kuuona mchezo wa fungua dimba wanapomka na shauku kubwa ya kujua amo yamekuwaje mchezo wa fungua dimba!

Wewe! Brazili ...1 croata ......2

mpo hapo?
 
Argentina anabeba ndoo mark my words
 
Hiyo itaitwa sungura kamkaba tembo...
 
Kwa soka lolote lawezekana.
 
brazil mfunge mechi nyingine, siyo hii ya ufunguzi. Natabiri tu.
 
Mechi za ufunguzi za kukumbuka:

1990 AGENTINA.......0 CAMEROON ........1

2002 FRANSA .........0 SENEGAL .........1
 
Hayahaya KUMEKUCHA!

HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA.

WALE WNAODHANI TIMU NYINGINE ZIMEENDA KUSINDIKIZA NYENGINE WATASHANGAA.......

MATOKEO YA MCHEZO WA FNGUA DIMBA : BRAZIL 1 CROTIA 2

MPO HAPO?
Pamoja mkuu!!
 
Argentina anabeba ndoo mark my words
Labda ndoo ya maji. Amini usiamini kombe linakuja Africa, ikishindikana linakwenda Belgium, ukibisha niwewe tu na ruhombaya yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom