Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
Lol@miafrika.kha..
Sijui matatizo ya MWARABU marehemu Quddhafi yanawakeretani ilhali yenu yanawashinda!
Sijui matatizo ya MWARABU marehemu Quddhafi yanawakeretani ilhali yenu yanawashinda!
Gadafi alitakiwa aburutwe sirte yote ,akatwe vipande vipande nyama zake wapewe simba wa kwenye zoo,mnajifanya mnamtetea Gadafi wakati wananchi wa libya wamemuona ni ***** tu.
Malkia hana nguvu ya utekelezaji wa kisheria kama kuteua mawaziri kufanya kazi za serikali etc. Yupo pale kama alama ya Taifa tu. Hii ni tofauti na utaratibu wa uongozi wa Libya ambapo Rais ndiye mwenye mamlaka ya mwisho.
mi sioni tofauti ya huyu mama anayetawala milele na utawala wa ghadafi uliondolewa kwa nguvu.waingereza ingieni barabarani
Kwamujibu wa tawala za kifalme hakuna maamuz yatolewayo ila yamepitishwa na mfalme au malkia. na kwa uingereza serikali ni kivuli2 mamlaka yapo kwa malkia na familia yake na hakitangazwi k2 wala kufanywa chochote ila kimepitishwa na malkia tatizo Gadaf ilikuwa direct na kwa malkia ni indirect
Hapo amezingirwa na wapiganaji wa vikundi mbali mbali vya waasi wa nchi hiyo pamoja na vijana wadogo wa kijijini kwao.
Ajabu kubwa ni kwamba hawa vijana wanaonekana kuwa ni wenye furaha kubwa kwenye nyuso zao huku wakiendelea kujichukulia kumbukumbu za mwisho wa kiongozi huyo kwa kutumia simu za kiganjani
Ni maswali mengi sana watz huwa wakijiuliza pindi vitu vya msingi huwa vikitokea duniani ila cha ajabu zaidi vyombo vyetu vya habari vinakuwa vinatanguliza sana burudani kuliko habari za msingi,,
Hivi juzi yametokea mapigano na hatimaye aliyekuwa rais wa Libya kupigwa risasi na kuuawa, na baada ya kufa vyombo vya habari vya nchi za magharibi na Ulaya kama VOA, BBC,CNN,SKY NEWS na ALJAZEERA vimekuwa mstari wa mbele kuwapa habari wananchi wao na ulimwengu kiujumla kuhusu kifo cha Gadafi ila cha kushangaza ni kuwa kila nilipokuwa nafungua vyombo vyetu vya habari vilikuwa vianapiga mziki, vikionyesha maigizo ya kitz, kinigeria, kihindi, kiphilipino badala ya kuwapa watz habari juu ya habari tete iliyotokea duniani,,
Tunafahamu kuwa hivyo vyombo vya habari vya Ulaya na Magharibi ni vya kimataifa na kila mtu ana uwezo wa kuona ,,lakini siyo kila mtz ana uwezo wa kuelewa kiingereza na kama ingekuwa ndoo hivyo kuvitegemea vyombo vya magharibi kutupa habari pekee basi kusingekuwa na umhimu wa kuwa na vyombo vya habari hapa TZ,,
Na sijaelewa hivi vyombo vyetu vya habari vinafanya kazi kwa matakwa yapi na kwa faida ya nani maana hata habari wanayoitoa wanakuwa wamecopy na kupaste kwa maana hakuna hata chombo kimoja cha habari cha TZ ambacho kinapeleka mwandishi wa habari huko nje kwa ajili ya kukusanya habari zaidi ya kuangalia nao CNN, BBC, VOA na ALJAZEERA na kututangazia bila kujua kuwa wana umhimu wa kwenda huko na kukusanya habari,,,
Je tutafika kama tv zetu na radio zimeweka mbele zaidi burudani za miziki na maigizo kuliko vitu vya msingi?????