The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

hapo kwenye red .. duh! sina lakuongezea
Hao Arab League hawakusoma provisions zote za Resolution iliyopitishwa? Maana kuna line inasea Use Any Means Necessary.
 
Quick observation, baadhi ya Watanzania waliosoma/ishi Libya au faidika (in)directly na misaada ya Libya wako mstari wa mbele kumtetea Gaddafi regardless ya kile anachofanya au alichofanya.
 
Supporters wa Gaddafi wamezingira ikulu,hawajali licha ya kwamba kuna bomu lilipigwa.
Source: cnn
 
Move over WikiLeaks... here comes Gadaffis’ secret dossier

Posted Monday, March 21 2011 at 00:00
THE EAST AFRICA

Here's a leak. Not from WikiLeaks, but from Africa’s oilfields of Libya.

President Muammar Gadaffi’s son wants “this clown” French President Nicolas Sarkozy to “give us back our money” allegedly used to finance his 2007 election.

Seif-al-Islam told Euronews that: “We have all the details and are ready to reveal everything,” as Gadaffi’s forces closed in on rebels in the eastern city of Benghazi which Sarkozy recognised as Libya’s legitimate representatives.

It looks like WikiLeaks is about to get a run for its money.

Mhhhh! More details please!
 
Quick observation, baadhi ya Watanzania waliosoma/ishi Libya au faidika (in)directly na misaada ya Libya wako mstari wa mbele kumtetea Gaddafi regardless ya kile anachofanya au alichofanya.
Mkuu.
Observation yako ni kweli...lakini tayari West na US bombing tayari inazalisha collateral damage huko Libya. Umewasikia Arab league wanavyosema? Wao wanafaidika vipi na misaada ya Libya?
 
Mkuu.
Observation yako ni kweli...lakini tayari West na US bombing tayari inazalisha collateral damage huko Libya. Umewasikia Arab league wanavyosema? Wao wanafaidika vipi na misaada ya Libya?
Hao Arab League ni wanafiki kama viongozi wengi wa chi za kiafrika na kiarabu wiki iliyopita waliutangazia ulimwengu kuwa Gaddafi keshapoteza uhalali wa kutawala na wakapush for No Fly Zone ambayo nchi za magharibi zilikuwa hazina nia ya kuimpose wala nini.
 
Hii ni very interesting email nimeipata kwenye forum moja...
 
Pakawa.
Walibya ni waafrika na pia waarabu. mimi sioni tabu kufahamu hilo.
Walibya wapo wa light skin na wapo wa dark skin.

Lakini kama hili linakuchanganya je unafahamu kuwa kuna watanzania ambao pia ni "waroman" catholics? Au waafrika,watanzania, waanglikani.
Kuna Watanzania pia wazanzibari.

Kuna watanzania, "magabachori" na kuna mtanzania kama mohammed Shossi..kwa picha ya avatar yake utaweza kusema ni mwalabu mtanzania au vipi? Au akina RA. salim Ahmed salim.

West na US wangekuwa si wanafiki basi ingekuwa ok kusaidia kumwondosha Gaddaffi lakini tuna mifano hai tayari kujua hii move si kulinda raia wa Libya ni ,kulinda interests zao tu...Itizame Iraq, itizame Afghanistan...wao wameshawaua raia zaidi ya laki 6 sasa na husema ni collateral damage. nani atawapeleka hawa west na US mahakama ya uholanzi?
 
02:13 Almanara Media is confirming from trusted sources that Khamis Al Gaddafi has passed away on Sunday due to severe burn injuries he sustained a few days ago. The burns were caused when a fighter jet pilot performed a martyr mission and crashed his fighter jet into Gaddafi's compound Baab Al Aziziyah.

Hii habari ina ukweli wowote?
 
Aende zake tu bado Mugabe wote hawa hawatufai kabisaaaaa kama Ghadafi alileta wanajeshi waje kuja kupigana alongside na wanajeshi wa NDULI IDD Amin dhidi ya Tanzania wewe leo unamwona mtu mzuri huyooo!!!

Asante Chimunguru, watu hawamjui Ghadafi, inaonekana hata hawasomi kinachoendelea Libya, hata Arab League, achilia mbali kina UK, US na France wamemchoka, Qatar nao wamo katika coalition force. . .we nani unaejifanya unathamini huo unaouita UAFRICA, watu kama nyie msiofikiri huwa mnakwenda tu kwa kudra za Mungu, huwa mnapelekewa pelekwa na udini, ukabila, u-mkoa, utaifa, uafrika nk, mtu anachinja watu kama kuku nyie mnasema uAFRIKA?
.
anyways, Nashukuru kuna watu wanaona beyond hapo, wamemchapa na usiku wa leo wamesongea hadi compound yake wakamnyuka! Yes lazima apate akili, bado Mugabe, Museveni, Gagbo nk
 

Haaaaa haaaa.....! Imeshakuwa ni vita ya kidini? Waislamu akili zao huwa ziko twisted kwani wakishindwa hoja huwa wanakimbilia kwenye udini! Nani asiyejua kuwa Gaddafi alikuwa anashusha makombora dhidi ya raia zake? Twisted minds wanadai eti ni mambo ya "western media!"
 

:lol::lol: na bado kinachohitajika ni hicho kiti anachokalia na ikulu, akiondoka wala hamna atakaye mfuata:lol::lol::juggle:
 
mkuu... siungi mkono taifa huru kuvamiwa

wangeanza na israel kama wako fair
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…