The Rise and Fall of Air Tanzania

Ni swala la fedheha inapokuja kwenye swala la uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 haiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
Fitina haikufanyi uwe bora air Tanzania inapaa kwa viwango vya juu kwa sasa ni gumzo duniani soon tunaenda London straight wee kaa ukisema mabaya Tu.
 
Fitina haikufanyi uwe bora air Tanzania inapaa kwa viwango vya juu kwa sasa ni gumzo duniani soon tunaenda London straight wee kaa ukisema mabaya Tu.
Kama safari za ndani tu zinakuwa tatizo huko London si utajikuta unapaa na abiria wa4 tu.
 
Professionalism. Albert Einstein once said insanity is the practice of doing the same thing, over and over again, and expecting different results.
ATCL, msituangushe. Rais angependa hitihada zake zizae Matunda mema kwa muda mrefu kwa watanzania.
Tusipojari majukumu yetu tunayopewa law kutotenda kazi zetu sawasawa, bora tukae pembeni.
Naona pengine hatuoni tofauti kati ya jana na leo. Kati ya shirika tuliloloua kwa kukosa uadilifu na hili tunalotaka kulijenga.
Albert Einstein alikuwa sahihi pengine....kaazi kweli kweli
 
Breakdown ya ndege ambazo tunaambiwa ni mpya imekuwa too much.

Tatizo la hizo breakdown ni nini? Hatuna watalaam wa kuzihudumia? Au labda hazikuwa mpya?
Ndege si sawa na baiskeli, vali ikiwa mbovu unakwenda tu, kuna taratibu zake lazima zifuatwe hata taa ikiungua, au birika la kuchemsha chai ndani ya ndege wao ni ndege ina hitilafu, na ili iweze kutoka ni kwa saini ya fundi anayetambuliwa na waliotengeneza hiyo ndege tu.
 
Hayo ni ma used. Hazikuwa mpya. Breakdown ni lazima. Lakini zipangiwe kazi wakijua ni used.
 
Back
Top Bottom