Ni swala la fedheha inapokuja kwenye swala la uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga
Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,
Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 haiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash