Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Wakuu nawasalute,
Wote mtakubali kuwa wakati wa bunge la tisa,Christopher ole Sendeka alijipambanua kuwa mpinga ufisadi na kujizolea sifa kedekede kwa watanzania.
Baadae ole Sendeka alipoteza kabisa mwelekeo na kuanza kujiambatanisha na serikali.
Leo,ole Sendeka ameapa kutokuiunga mkono hoja ya prof Muhongo kwa sababu za ufisadi wa IPTL na kudharauliwa,kunyanyaswa wachimbaji wadogowadogo mf.Mererani.
Swali ni,Is this the Rise and Fall and Re-rise or he has his own agenda on this matter?