mkuu nipe mwanga kidogo. Hiyo kikckass.to ni free download kama piratebay au ni nini? Unaweza nitajia site ni download free hii 24 mpya?
yeah mkuu ni free download ila inabidi uwe torrent, inalink moja kwa moja,,,,, nyingine ni hii Torrentz
hizi site ni free kabisa tena kama kikckass inakuwa na seeders wengi sn so kama una net ya uhakika dk TATU ni nyingi sn, ukiingia we search 24 tena pendelea kuandika hivi 24 s09e01 unapata bila shida
Naikumbuka hiyo Mkuu. Alitamani ardhi ichimbike apotelee huko. I wish Tanzania tungepata kichwa japo kimoja tu kama cha Bauer. Hakika viongozi wangenyooka.
Nilisikitika na maneno aliyoambiwa na Secretary Healler (Baba wa Audley) kama Bauer kila mwanamke atayekuwa nae anaishia kwenye mateso tu.
Jack Bauer ni balaa mkuu.
Kama unamzungumzia Chase, hakufa! alipata matibabu na àlipona! Lakin kama unamzungumzia yule ambae alizaa nae, huyu sidhan kama alishawahi kupata msukosuko coz' wakati kashikashi zinatokea New York, Kim alisafiri na Bwana àke kuelekea L.A!Sides wakuu mi 24 niliichek ila ckuimalizia yule dogo aliyekuwa boyfriend wake na mtoto wa jack beur story yake iliishaje??alikufa au
Secretary Heller alitoa kauli chafu zaidi ya hiyo!alishamwambia "Bauer u're cursed, anything coming close 2 you dies!" Jack hakuamini alichocki
Naikumbuka hiyo Mkuu. Alitamani ardhi ichimbike apotelee huko. I wish Tanzania tungepata kichwa japo kimoja tu kama cha Bauer. Hakika viongozi wangenyooka.
Nilisikitika na maneno aliyoambiwa na Secretary Healler (Baba wa Audley) kama Bauer kila mwanamke atayekuwa nae anaishia kwenye mateso tu.
Jack Bauer ni balaa mkuu.
humo humo mkuu! tena nadhani baada ya pale hawakuwahi kukutana tena sasa cjui atasemaje atakapookoa maisha yake kwa mara nyingine!! lakin maneno ya Heller kama yana ukweli hivi!! wait-Kim's mom, Agent Renée Walker, Nina, Audrey(chupuchupu mara 2)"You are cursed Jack,everything you touch end up ruined or dead" - Heller
humo humo mkuu! tena nadhani baada ya pale hawakuwahi kukutana tena sasa cjui atasemaje atakapookoa maisha yake kwa mara nyingine!! lakin maneno ya Heller kama yana ukweli hivi!! wait-Kim's mom, Agent Renée Walker, Nina, Audrey(chupuchupu mara 2)

Waitin for 3rd episode today, kama hujawatch 1& 2nd episodes pakua hapa: 1Episode: http://kickass.to/24-s09e01-hdtv-x264-lol-eztv-t9075203.html
2Episode: http://kickass.to/24-s09e02-hdtv-x264-lol-eztv-t9075360.html