The return of Sabata: Zitto is back, with a vengeance!!

This is why i always stand firm into my belief towards the Arusha declaration and CCM policies, sihitaji kuwa shabiki wa mtu au bendera fuata upepo, nasimama mwenyewe katika misingi ya taifa letu iliyojengwa kwa siasa safi za CCM, ...

Arusha Declaration and CCM Policies in one sentence in this day? Wenye CCM leo hii wanaweza wasitambue kilichoandikwa hapa. Azimio la Arusha walishalizika kitambo. Aidha, siasa safi za CCM? Labda ungesema "sera nzuri za CCM" ingekuwa bora kwani naamini wengi hatuna tatizo na sera "zilizoandikwa" za CCM. Tatizo linaloainishwa katika mada hii ingawa halijawasilishwa vyema ni ufisadi unaofanyika CCM, CHADEMA na serikalini. Maana yake ni kwamba sera na utendaji wa taasisi hizo (CCM, CHADEMA na serikalini) hazijatusaidia kuondokana na uozo huo, Hivyo, mleta mada kaamua kumsifu Zitto kama ndiye mwenye jibu la kutwanga kotekote.

Sasa unapokimbilia kuishabikia CCM hapa unakwenda nje kabisa ya maudhui ya mleta mada kwani hajaiondoa CCM katika tatizo hilo na kama ni hivyo basi CCM ndiyo yenye tatizo kubwa zaidi ukichukulia kuwa leo hii ndiyo yenye dhamana ya kusimamia rasilimali za taifa na inashika rungu la kuwadhibiti hao wengine wote wakienda kinyume na sheria za nchi. Kwangu mimi binafsi, kuishia kuilinganisha CCM na wengine na kuhitimisha kwamba ina nafuu katika ufisadi ni mantiki iliyopinda.
 
Mkuu Drifter wewe na Mkuu stroke mmeamsha mjadala ambao kwa kweli umekuwa thought provoking.

This type of debate is what thinkers are made of.

Wengi hawaamini kuwa katika Tanzania , kuna waumini wengi tu wa Arusha Declaration na siasa ya Ujamaa na Kujitegemea.
Kwamba leo siasa hiyo haifuatwi siyo kwamba haina wafuasi.
Many people long for policy based on a clear ideology like CCM of ages ago used to.
CCM ya leo kwa kweli ni let down kwa wale wengi, wakulima, wafugaji na wafanyakazi ambao niu hohehahe.

Kitu cha kujifunza hapa ni kwamba watu wengi, hasa wasomi, wanchukulia tu kugawana rasilimali badala ya kutazama upande wa pili wa kujitegemea.

Nchi kama China na hivi karibuni Vietnam, wamepiga hatua sana sana kwa kuteeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea, hasa kujitegemea.
CCM ya sasa ni kama jumuiya ya watwala na wano wania kutawala , bila ya kuwa na itikadi inayoonekana wazi.
Vyama vingine ni even worse.
Hakuna kinachoonekana , hata kwa sera , kuwa ni cha kuwaunganisha waTanzania wote bila ubaguzi.

Hili swala la Zitto san sana ni la kiutendaji, au kukosekana kwa utendaji katika kudhibiti rasilmali za nchi.
Zitto tunamsifia kwa vile amediriki kama Goliath kulisema wazi wazi tatizo la kiwango cha Goliath, la kukosa uadilifu wa fedha za umma,hususan ruzuku, hata katika nyumba yake mwenyewe ya CHADEMA.
Vile vile ameuumbua unafiki wa wanasiasa katika vyama vyote, juu ya ukosefu wa uadilifu wa matumizi ya kodi za wananchi.
Wananchi ni lazima watajiuliza , ni nani mkweli?
Hizi ndio changamoto , tena za uhakika tunazo penda kuziona toka vyama vya upinzani.
Hatimsifii kwa vile yeye ni uarobaini wa rushwa, la hasha , tatizo la rushwa na uadilifu ni kubwa mno kuliko umri wa Zito.
Hata hivyo ujasiri wa kulikumbushia, tena kwa vigezo maalum na ushahidi, dicho tunakipongeza.

Katika adiko langu , bado swala linarudi kwa watendaji, hasa mtendaji mkuu wa serikali, Rais, kulishughulikia kwa umakini tatizo hili wakati muda wake ukiyoyoma kufikia 2015.
 
Last edited by a moderator:
Mister, you dont impress anybody kama mtu aliye mbali na F4F, whether unajiamini or not.
Kwa avatar yako, kwa kujikita katika kufikiri kwa makuzi yako ya kijinsia, you are a queer!

In actual fact katika mada hii you dont even seem to understand the matters at stake.

Ndio maana una kuwa reffered to chit chatting inayoendana na level yako ya uelewa.

Well,

Looks like you want to force everyone to see kuna Mashiko kwenye content ya huu uzi something which is totally wrong.
Regarding weather i am a FM4 or not,If you don't mind we can privately exchange our Real profiles between me and you, what are we doing at the moment, where had we passed through from Nursery School up to now etc etc, then we will be a position to tell, between me and you, who at least can be compared to F4F, i am ready for that, not sure if you are...
Getting back to my avatar, well, inaweza ikakutisha, but there is no any rule so far imposed in JF that i have violeted with such avatar, otherwise, you dont have any Moral Authority to question it based on fact that even your's might bring an owe fully interpretation depending on how some on looks at it.
By the way, i did you a very special favor by quoting you more than 2 times in a day.
Im not used to this, especially to short minded looking people like you,....You must be a real hot Blonde Lol....
 
An F4F and a queer!!
 
From Red and Blod, calling you kilaza will an insult to all Vilaza Society

Mister, hatutukani humu JF si kwa sababu hatujui kufanya hivyo, ni kwa vile tunatunza heshima ya jamvi.

Your pervert sexual orrientation is an insult to manhood, and will you please find a better place to peddle your bodliy wares, and as you can see nobody is interested in your stupid insinuations.
Once a queer, always a queer, worse still an F4F.
 
Mkuu kuna watu kazi yao ni kuchafua jamvi kwa matusi.
Huyo jamaa ni mmoja wao, hawana mchango wa kiakili katika debate nyingi, na hata kwa uchaguzi wa avatar tu unaweza kuona kama mtu ana akili timamu au la.
MODs waangalie njia sahihi ya kuwa contain wachafuzi hawa.
 
Hahhaha, Miss, you real have psychological problems, 1 can see you are the one who is interested in RED and BOLD above.
Be free to pm if you are a real hotie Blonde
 
Hamuwezi ku post utumbo halafu mtegemee Support kutoka kwetu, hebu ona, your thread is having more tha 60 contributions with only one like, more than 90% ya wachangiaji tume ku diss
 
Mada inasema Zitto arejea na kisasi. Kisasi kwa uonevu gani aliofanyiwa; na nani? Ni viongozi wepi hao wa CHADEMA, CCM, na Serikalini waliomnyanyasa Zitto hadi aamue kurejea na kisasi cha "ukaguzi wa ruzuku za vyama" na "mabilioni ya Uswis".

Basi bora mada ingekuwa "zitto aamua kupambana na mafisadi wote kwenye vyama na serikali". Ilivyo sasa inaonyesha mleta mada unawasilisha hisia zako ambazo hazijakaa sawa kimantiki.
Mkuu huyu jamaa mleta mada huwaga anapost ki pashkuna sana.
Yaani uliposema amepost hisia zake ndo umemaliza Kabisa yani, eti Zitto kaja na Kisasi, btw, sijui anajisikiaje baada ya kuona hata Msajili wa Vyama kuuponda u Kuku wa PAC
 
Hahhaha, Miss, you real have psychological problems, 1 can see you are the one who is interested in RED and BOLD above.
Be free to pm if you are a real hotie Blonde

It seem you have an itchy A double s.
Pevert!!
 
It seem you have an itchy A double s.
Pevert!!

Mkuu huyu jamaa lwa matusi hajambo lakini hawa ndo mbwanajiku hawaongei la maana hata siku moja, kama hawajashughulikiwa.
Wanatutafutia ubaya tu, mtu anayeifikiria A doble s wakati wote mshughulikiwaji huyo.
 
Mkuu ni heri MODS wameona , jamaa katumwa kuchafua jamvi ili apate cheo bavicha.

Sasa turidi kwenye mada.

Zitto apewe all the support kwa kuweka Tanzania kwanza.
 
Zitto Kabwe aka Sabatha mda mfupi uliopita amepost hivi on facebook.

"Uwezo wa wanasiasa wa Tanzania kutunga uongo na kuusambaza ungetumiwa kuandika hekaya tungekuwa na waandishi waliobobea. Jamii ya wasema uwongo na wapokea uwongo ni jamii yenye kunuka uvundo".
 
Ni kweli kabisa lakini Kaka yangu ZZK wewe pia ni mwanasiasa unajitofautishaje na hao unaowaita kwa jina hilohilo pia?Halafu mbona sikuoni kwenye mambo ya chama maana wewe ni Nguzo Imara sana katika CDM chama makini na viongozi makini mambo mengine ni ishu za ukomavu wa kisiasa ambao hapa Tanzania haupo tena bora CDM wanaukomavu wakisiasa kuliko Ccm wasiojua hata maana ya ukomavu wa kisiasa....Kajenge Chama pia ndugu ZZK
 
Zitto Kabwe aka Sabatha mda mfupi uliopita amepost hivi on facebook.

"Uwezo wa wanasiasa wa Tanzania kutunga uongo na kuusambaza ungetumiwa kuandika hekaya tungekuwa na waandishi waliobobea. Jamii ya wasema uwongo na wapokea uwongo ni jamii yenye kunuka uvundo".
Aisee??!!!
 
Back
Top Bottom