The return of Sabata: Zitto is back, with a vengeance!!

The return of Sabata: Zitto is back, with a vengeance!!

Mkuu inategemewa kuwa mtu anayeongoza chama vile vile anatakiwa kuwa na upeo wa kuongoza nchi.

Kwamba chama kinaimba ruzuku na kupewa ni hekima ya uongozi wa chama inatakiwa kuongiza matumizi ya ruzuku, na ndio kipimo cha uwezo wa kuongoza nchi.

Viongozi wa vyama wakishindwa kuongoza vyama hawataweza kuongoza nchi kwa uadilifu.
None,save the lunatics have ever accepted your opinion.
 
Watu wameshtushwa sana na taarifa kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni miongoni mwa walioficha mabilioni nje ya nchi!!!
Nyumba sio mabilioni ya fedha acha unafiki kijana. Kama unaandika kwa kulipwa kwenda kachukue posho yako JF sio saizii yako ingawa upo siku nyingi
 
Yaani kuna Ma CCM ya ajabu sana.
Kutwa kuchwa kuhangaika na masuala ya CHADEMA...
 
Btw
Hivi mleta uzi ni Katibu muhtasi ama ndo msemajo wa Zitto kuwa kaja na Hasira?????
 
Mkuu with all due respect wewe unafaa kuitwa hypocrite.
Mabaya yako (CHADEMA) unayapa baraka na mabaya ya mshindani wako (CCM)ndio dhambi.
Toa boriti ndani ya jicho lako na kama Zitto alivyoainisha, kama nyumba ya Dubai imepatikana kifisadi lisemwe hilo na kulaaniwa na wananchi.
Wananchi Hatuwezi kukabidhi nchi kwa watu wa aina hiyo.

Hao wananchi labda una reffer wewe..mumeo na watoto wenu...
 
This is why i always stand firm into my belief towards the Arusha declaration and CCM policies, sihitaji kuwa shabiki wa mtu au bendera fuata upepo, nasimama mwenyewe katika misingi ya taifa letu iliyojengwa kwa siasa safi za CCM, mwalimu wangu mmoja alishawahi kuniambia, wakati unataka kuchagua sensei mzuri, fanya uchunguzi wa haraka kwa background ya sensei wako kabla ya kujiunga na dojo yake,fahamu kwanza misingi yake, tabia yake kwa jamii, na mafunzo yake yakoje, msemo huu unasaidia kuwa makini na watu na kuwachunguza kwanza na kujitahidi kuwafahamu kabla ya kujiunga nao, si ajabu tena watu kuanza kuhama chama baada ya kusikia madudu ya viongozi wao, itakua aibu na utaonekana mtu ambaye huna msimamo, kama wewe ni kuhama hama tu na watu, si kila anayesema ANAMAANISHA, demokrasia ya kweli inaanza kwa kujitambua na kujenga misingi yako mwenyewe kabla ya kutafuta wale unaowaona mnaendana kimtazamo, na kabla ya kujiunga nao, chukua muda wa kuwafahamu kwanza, bila haya tunaweza kuwapa nchi majambazi tukabaki tunalia..

Stroke siku zote nimekuwa nachukizwa sana na post zako.Leo umejitahidi kidogo kuvuta hisia zangu.Jambo unalojichanganya sijui ni kwa makusudi ama ni kutojitambua kwa upofu wa mahaba kwa bibi kizee wa Lumumba hata kupofua uelewa wako ukaacha kujitambua.Hakuna siasa safi katika CCM.Azimio la Arusha limeuawa na CCM lakini unajitoa ufahamu unatuonyesha ni jinsi gani ulivyo Mchovu wa kufikiri!
 
Mkuu usinichukie bure maana sikuchukii, nakupenda kama mtanzania mwenzangu, i am just exercising my political right the same as you, katika jamii tunatofautiana katika mitazamo, hata katika level ya familia, huwezi kuta watoto wote wakifanana kihulka ama kitabia, kuna tofauti, lakini wote wanaishi kwa upendo kama familia, vivyo hivyo na sisi katika jamii yetu hii ya kitanzania, tujifunze kuishi kwa kuheshimiana na kupendana tukitambua kua kuna binadamu wenzetu wanamitazamo tofauti, na tuwaelewe hata kama hawaamini katika kile tunachokiamini sisi, siasa si uadui, siasa ni kama imani tu ambayo kila mtu ana uchaguzi wake kulingana na vipimo vyake vya mtazamo katika maswala ya kijamii, hivyo basi tunapaswa kuheshimu pia maamuzi ya wengine na mitazamo yao, hiyo ndio jamii ya kistaarabu
 
Hao wananchi labda una reffer wewe..mumeo na watoto wenu...

Nimesoma mahali humu jamvini kuwa nyie wa matusi ni wale Form Four Failures(F4F) miliolelewa na kukuzwa tofauti na jinsia zenu.

Kama unashindwa kujibu mada kwa akili kuna wenzako wengi tu kule Chit Chat.
 
Jambo la ajabu kidogo ni kuwa Zitto kama Naibu katibu mkuu wa Chadema anatenda atendayo kwa kufuata Ideology ya chama chake sasa inakuwaje washabiki wa CCM wanamfagilia kama mtu wao? Ukiona mke anamsifia na kumtaja sana mume wa nyumba ya pili ujue kuna neno hapo

You said it all....mia
 
Nimesoma mahali humu jamvini kuwa nyie wa matusi ni wale Form Four Failures(F4F) miliolelewa na kukuzwa tofauti na jinsia zenu.

Kama unashindwa kujibu mada kwa akili kuna wenzako wengi tu kule Chit Chat.
Mkuu hao wa F4F wapo wengi tu humu jamvini, hasa ukumbi huu wa siasa.
Fuatilia majibu ya Kibogo na hata huyu Bramo.
They have a very very low IQ na reasoning capacity ya kijana wa darasa la sita au saba na wa nachojua ni ku log in kwenye mtandao.

Kwa kutukana matusi hawaisadii sana Chadema wala kufafanua msimamo wao wa kisiasa zaidi ya kujionyesha dunia nzima wasivyostaarabika na kuwa low achievers.
 
Mkuu usinichukie bure maana sikuchukii, nakupenda kama mtanzania mwenzangu, i am just exercising my political right the same as you, katika jamii tunatofautiana katika mitazamo, hata katika level ya familia, huwezi kuta watoto wote wakifanana kihulka ama kitabia, kuna tofauti, lakini wote wanaishi kwa upendo kama familia, vivyo hivyo na sisi katika jamii yetu hii ya kitanzania, tujifunze kuishi kwa kuheshimiana na kupendana tukitambua kua kuna binadamu wenzetu wanamitazamo tofauti, na tuwaelewe hata kama hawaamini katika kile tunachokiamini sisi, siasa si uadui, siasa ni kama imani tu ambayo kila mtu ana uchaguzi wake kulingana na vipimo vyake vya mtazamo katika maswala ya kijamii, hivyo basi tunapaswa kuheshimu pia maamuzi ya wengine na mitazamo yao, hiyo ndio jamii ya kistaarabu

Well said Mkuu.
Hata Dr Slaa tulimpongeza na list yake ile List of Shame- kwa sababu alieleza ukweli na wizi mkubwa uliofanywa.
Leo watu hawaelewi kwa nini wapendwa wao wanapokosolewa pale wanapokosea, tena kwa makosa yale yale.
Zitto lazima aongezwe ,amefanya a thankless job ku expose yale yale Dr Slaa aliyo expose.
 
Na wanaompinga wengi wanatoka chadema si ndo hivyo mkuu?? Makene anasema si ajabu mbowe kuwa na nyumba Dubai, kwanini iwe ajabu kwa mtu kama rostam!!!

Ushaambiwa tatizo ni pale mtu anapomiliki majumba nje bila kuyaorodhesha kwenye taarifa ya tume ya maadili ya watumishi.ROSTAM hajaweka rekodi zake wazi,lakini MBOWE zipo inavyopaswa kuwa.
 
Na wanaompinga wengi wanatoka chadema si ndo hivyo mkuu?? Makene anasema si ajabu mbowe kuwa na nyumba Dubai, kwanini iwe ajabu kwa mtu kama rostam!!!
Hapa ndipo mnapochanganya mada!je kuna sheria yoyote inayomzuia mtanzania kujenga nyumba nje ya nchi?Kwa nini msiongelee mabilioni yaliyofichwa nje ya nchi(uswis na kwingineko) badala yake mnataka kupindisha lengo?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu two wrongs do not make a right,
And you cannot negate a wrong with another wrong.
Kosa ni kosa na lazima lijadiliwe in its own merits.

Wanaoficha fedha Uswiss ni wahalifu na wachukuliwe hatua, sawa sawa na wanao kwepa kodi kwa kuwekeza nje ya nchi bila ku declare mapato yao.
Na hata wezi wa ruzuku vilevile.
Wote, kama alivyosema Mwalimu, ni matanyanga, wachukuliwe hatua zinazofaa.(mkuu Mwita Maranya sijui kama nimepatia hapo kilugha)

Na ndio maana nampongeza Zitto kwa kutoweka unafiki wa kichama mbele.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma mahali humu jamvini kuwa nyie wa matusi ni wale Form Four Failures(F4F) miliolelewa na kukuzwa tofauti na jinsia zenu.

Kama unashindwa kujibu mada kwa akili kuna wenzako wengi tu kule Chit Chat.
Sina Mashaka na Elimu yangu aisee, ila always nitakuwa Crazy kwa watu msiopenda kutumia akili zenu mlizopewa na Mungu, rather Mkaaamua kujidhalilisha kwa kutumia Viungo vingine vya mwili kufikiri.
Ok, Back to the topic, kama sio wewe, Mumeo na wenenu, ni akina nani hao wa Tanzania unawasemea kuwa hawako tayari kutoa nchi, hiyo Research uliifanyia wapi na lini na ulitumia methodology gani ?
Other wise, hao wa Tanzania unaowasemea watakuwa hao niliowataja.
Mia
 
Na wanaompinga wengi wanatoka chadema si ndo hivyo mkuu?? Makene anasema si ajabu mbowe kuwa na nyumba Dubai, kwanini iwe ajabu kwa mtu kama rostam!!!

Suala ni kuwa na nyumba Dubai au ni imepatikana vipi? Rostam hata chama chake cha zamani ambacho kinatutawala leo hii kilishamnyanyapaa kama fisadi papa. Basi tuthibitishiwe kama Mbowe naye ni mwizi tena wa kulinganishwa na Rostam. Vinginevyo ni ujinga mtupu unaoletwa hapa; hata unafiki hauna budi kuwasilishwa JF kwa akili.
 
Mada inasema Zitto arejea na kisasi. Kisasi kwa uonevu gani aliofanyiwa; na nani? Ni viongozi wepi hao wa CHADEMA, CCM, na Serikalini waliomnyanyasa Zitto hadi aamue kurejea na kisasi cha "ukaguzi wa ruzuku za vyama" na "mabilioni ya Uswis".

Basi bora mada ingekuwa "zitto aamua kupambana na mafisadi wote kwenye vyama na serikali". Ilivyo sasa inaonyesha mleta mada unawasilisha hisia zako ambazo hazijakaa sawa kimantiki.
 
Sina Mashaka na Elimu yangu aisee, ila always nitakuwa Crazy kwa watu msiopenda kutumia akili zenu mlizopewa na Mungu, rather Mkaaamua kujidhalilisha kwa kutumia Viungo vingine vya mwili kufikiri.
Ok, Back to the topic, kama sio wewe, Mumeo na wenenu, ni akina nani hao wa Tanzania unawasemea kuwa hawako tayari kutoa nchi, hiyo Research uliifanyia wapi na lini na ulitumia methodology gani ?
Other wise, hao wa Tanzania unaowasemea watakuwa hao niliowataja.
Mia
Mister, you dont impress anybody kama mtu aliye mbali na F4F, whether unajiamini or not.
Kwa avatar yako, kwa kujikita katika kufikiri kwa makuzi yako ya kijinsia, you are a queer!

In actual fact katika mada hii you dont even seem to understand the matters at stake.

Ndio maana una kuwa reffered to chit chatting inayoendana na level yako ya uelewa.
 
Back
Top Bottom