Hakuna ajabu. Ila tukubaliane,Mbowe hajawahi kushika madaraka ya kimaamuzi ya umma hivyo kama alifanya uhalifu wa kutorosha fedha kama mfanyabiashara hata kuwa na kinga yeyote na hata kuwa na tofauti na mwizi yeyote mfanyabiashara. Ufisadi ni ule wa kutumia madaraka ya umma kujitajirisha kwa mambo kama mikataba inayoumiza raia kwa faida binafsi na hizo 10% zinazozoofisha nchi. Hapo ndio tunapopigia kelele maana kwa viongozi kama mawaziri wanayomiiko yao ya uongozi.
kumlinganisha Mbowe mfanyabiashara wa siku nyingi na Ngeleja au Lowasa ni kupotosha maana halisi ya Ufisadi