The return of Makonda, GSM wanajisikiaje?

Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?

Sasa wajisikieje ….wao wana biashara zao ….ulitaka kama anataka kupora nyumba yake amuache ??
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Hawakumnyanganya kiwanja chake bali walimnyanganya mali alizowanyanganya wakati ana nguvu.
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Sasa chadema wanausikaje na Paulo kuporwa kiwanja kwa lugha nzuri haya ni majungu
 
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini

Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme ,Je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka ,habari njema zaidi ni kuanza Kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika Kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi Kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka Kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii ,wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na Kwa sababu hawaoni wataendelea kuona watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi Kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili " white elephant projects" na wapinzani Sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani Kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda ,sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.
 
Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.

Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
 
Usi
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Usirukie usiyoyajuwa, kada wa Ccm anyang'anywe nyumba na mfanya biashara?? Use your brain!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom