The return of Makonda, GSM wanajisikiaje?

Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Wafanya biashara walivyo waovu kama hao GSM unaweza kuta ndiyo wanagharamia ziara zake zote, na walishamrudishia hata mara 10 ya kile walimchomdhurumu na bado wanapiga dili kinoma na kwa wanasiasa hakuna adui wa kudumu
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Makonda ndio alitaka kuwanyang'anya Acha Upotoshaji kama ni chake AENDE MAHAKAMANI asiptumie CHEO KUZULUMU VIWANJA vya WATU PIA AKUMBUKE CHEO NI DHAMANA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Chukua ushauri huu dogo utakusaidia kwenye maisha yako.
Usipende ligi na watu wenye pesa na connection ndani na nje ya nchi.

Wamezikwa watu wenye madaraka makubwa kuliko makonda. Sio tz tu, hata huko marekani.
Marekani rais kabla ya kugombea lazima atembelee Israel Kama ishara ya kuheshimu familia za kitajiri za kiyahudi.
 
Kuna matajiri bongo hapa wanaendesha serikali, sasa GSM awaze nini kuhusu makonda? Hata akiwa raisi wa nchi hana kitu anaweza mfanya
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
unataka kusema makonda alionewa?
waulize wale wajinga wenzio wanaojazana kwenda kusikiliza ngonjera za huyo Joyc wowowo wako
 
We mchepuko wa mbowe umeanza kujiona una hadhi ya kumpangia mbowe nani ampokee na nani amuache?
wewe tujadili hoja hoja ya ya mbowe yanakujaje? mkiambiwa mna akili ndogo mnatukana watu. sasa wewe unajadili hoja ya makonda mbowe anaingiaje? kwa hiyo mbowe ni GSM?
 
Mbowe ndiyo atakayempokea Makonda na wewe nyumbu utalazimishwa umuombee kura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom