The return of Makonda, GSM wanajisikiaje?

Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Dhuluma mbaya sanaaa Makonda alilazimisha apore nyumba .....dhuluma mbaya sanaa.....na yeye najua anajuta sana kuchukua mali ya watu kwa nguvu na kurudisha nyuma tarehe ili akijua sio haki yake wala sio malibyake....hata hiyo Mungu anajiejificha kwake hapendi
 
Jifunze kutofautisha Kati ya Asset and liability

GSM ni Asset
Makonda ni liability.

Mmoja anafanya analipa kodi serikalini kubwa na kutoa Ajira na mmoja analipwa na chama Ku to kana na kodi .

Hivyo serikali inaweza kumlinda GSM in long run returning maana GSM akikwama GSM redundancy itatokea na mwisho serikali itakosa kodi.

Mtoa mada Kama umesoma basi ulitoka na Grade shule na sio knowledge.
GSM anamchango kwenye taifa tofauti na chizi Makonda
 
Maneno ya kuokoteleza ni uchochezi na upandikizaji wa chuki na uhasama ktk jamii. Unajuaje kama hao GSM hawakuwa wakweli dhidi ya Makonda. Kwa njaa ipi aliyonayo GSM hadi adhurumu vitu kama hivyo? Unasema Makonda karudi na nguvu na cheo kikubwa kuliko mwanzo!! Ni madaraka yapi aliyonayo yatakayowaogofya hao GSM na Chadema?
Huwajui GSM. Dhuluma ndio msingi wa mafanikio yao.
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Kwa ukubwa gani aliokuwanao huyo Bashite wa kumtisha GSM au Chadema?
 
Jifunze kutofautisha Kati ya Asset and liability

GSM ni Asset
Makonda ni liability.

Mmoja anafanya analipa kodi serikalini kubwa na kutoa Ajira na mmoja analipwa na chama Ku to kana na kodi .

Hivyo serikali inaweza kumlinda GSM in long run returning maana GSM akikwama GSM redundancy itatokea na mwisho serikali itakosa kodi.

Mtoa mada Kama umesoma basi ulitoka na Grade shule na sio knowledge.
Bora wewe umeliona na kulisema. Chawa sijuhi wana matatizo gani, mwanzoni nilifikiri ni watu ambao hakwenda shule kumbe wengine ni wasomi wazuri tu.

Nilimsoma chawa mmoja akidai Makonda ni boss kwa watumishi wote wa serikali, maweeee... Magufuli alituachia vituko ndani ya nchi hii, kuirekebisha itachukuwa muda.
 
Kwa akili yako hii ndiyo maana unashabikia mtu aloyepata ziro form six
 
Bora wewe umeliona na kulisema. Chawa sijuhi wana matatizo gani, mwanzoni nilifikiri ni watu ambao hakwenda shule kumbe wengine ni wasomi wazuri tu.

Nilimsoma chawa mmoja akidai Makonda ni boss kwa watumishi wote wa serikali, maweeee... Magufuli alituachia vituko ndani ya nchi hii, kuirekebisha itachukuwa muda.
Kwa akili yako hii ndiyo maana unashabikia mtu aloyepata ziro form six
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Kwani makonda ni nani hadi GSM amuogope? Ana nini kwani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom