The return of Makonda, GSM wanajisikiaje?

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,823
Reaction score
19,489
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
 
Makonda alisha sema hana visasi,acha kuchochea mkuu,
Dunia ingekua ya visasi basi kila siku watu wangekua wanauana au kudhuriana,
acha maisha yaendelee kwa maendeleo ya nchi na watu wake.
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.
Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je Chadema na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Best revenge ni mafanikio tu. Mengine uongoo.
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Maneno ya kuokoteleza ni uchochezi na upandikizaji wa chuki na uhasama ktk jamii. Unajuaje kama hao GSM hawakuwa wakweli dhidi ya Makonda. Kwa njaa ipi aliyonayo GSM hadi adhurumu vitu kama hivyo? Unasema Makonda karudi na nguvu na cheo kikubwa kuliko mwanzo!! Ni madaraka yapi aliyonayo yatakayowaogofya hao GSM na Chadema?
 
Nenda kawambie wamrekodi tena kama walivyofanya ndiyo utaelewa maana kuelewa kwa nyumbu ni mpaka damu masikioni
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Atimize majukumu yake hayo menhine siyo sehemu ya TOR yake
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Hiyo ni sawa football match wakati unashambuliwa unajipanga kuzuia hamuwezi kushambuliana kwa wakati mmoja!
 
Jifunze kutofautisha Kati ya Asset and liability

GSM ni Asset
Makonda ni liability.

Mmoja anafanya analipa kodi serikalini kubwa na kutoa Ajira na mmoja analipwa na chama Ku to kana na kodi .

Hivyo serikali inaweza kumlinda GSM in long run returning maana GSM akikwama GSM redundancy itatokea na mwisho serikali itakosa kodi.

Mtoa mada Kama umesoma basi ulitoka na Grade shule na sio knowledge.
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Ni vizuri Kulipa baya ulilotendewa kwa Jema na kumuachia Mungu...

Na Mwenyezi Mungu atakubariki sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom