The return of Makonda, GSM wanajisikiaje?

Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Walimnyang'anya nyumba na kiwanja chake,hakuwa na nyaraka za umiliki?
 
Huyo jamaa yenu ni mwenezi wa chama tu,mnamkuza sana, hapo alipo yeye mwenyewe anapambania arudishwe serikalini kwenye uhakika wa maisha
 
Hapo alipo ni boss wa wote walioko serikalini
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Jitu liovu ni liovu tu hata ulipambe kivipi. Makonda ni mhalifu sugu na ipo siku damu alizizimwaga zitmlilia muumba
 
Mleta mada amehoji GSM wanajisikiaje kwa sasa?
Kwani Kikwete anajisikiaje? Anavyojisikia Kikwete ndio wanavyojisikia hao GSM!
Hawa GSM wa Kikwete ni Sawa na wale wakina Gupta wa Zuma kule Afrika kusini.
Kumbuka Makonda ndio alimnajisi Ridhwani kuwa ni muuza madawa ya kulevya! Kwa hilo yule mkwere alivyokuwa na visası, hata msamehe Makonda mpaka anaingia kaburini.
 
GSM ni warabu lakini Kikwete ni mkwere
 
Amani iwe nanyi.

Watu wa kwanza kabisa kumnyanyasa Paul Makonda mara baada ya kukosa kazi mjini ni kampuni ya GSM ambao walimnyang'anya kiwanja chake na nyumba yake na wakamrekodi na kurusha mitandaoni video yenye kumdhalilisha Makonda.

Kijana huyu mchapakazi wa kisukuma alionekana kwenye video hiyo akilalamika kudhulumiwa haki yake huku akiinua mikono juu na kumlilia Mungu. Bila kuchelewa Mungu amejibu maombi na Makonda amerudi mjini akiwa mkubwa zaidi kuliko zamani!

Je, CHADEMA na GSM wanajisikiaje kwa aibu sasa hivi?
Kwa sasa Yanga ni GSM na GSM ndio Yanga, je wowowo la Bashite Lina madhara yoyote Kwa Yanga?

Au hujui kama mama Kizimkazi ni Mwananchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom