The reason to why I didn't marry you!

Ni upuuzi mambo ya itaendelea
 
Naona members mmekuja na muamko wa kuhadithia history za maisha yenu Sasa hii ndio trending iliyopo Sasa hapa Jf

Safi Sana endeleeni kutupa story hizo tunajifunza mengi Sana kupitia nyinyi
Kuna wakati ili uwe huru unalazimika kutoa dukuduku zilizo ndani,na mbaya zaidi huwezi kusimulia physically,angalau huku unajimwaga na kupunguza sumu bila hofu

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
I can simply conclude kwamba ulikua hujui unachotafuta kwenye mahusiano na ni mtu unaefanya maamuzi kwa kukurupuka
Maamuzi ya kukurupuka hapo juu ni kama yepi best yangu au unekuwa wewe ungeamuaje kuanzia huyo namba moja mpaka tano...[emoji28]

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…