Huuu ubalozi wetu unahitaji kukaa kimyaa tu, maana watasema nini? Hao wazungu tayari wanazo data zote iliyobaki ni kuzimwaga tu, hii issue ilemwa weeee, mpaka kidogo ilete ngumi bungeni, tukaambiwa kuwa serikali imesha aamuwa, rada inayohitajika na Israeli tukainunua masikini wabongo,
Hapa Mwandosya, Mramba, na Sumaye, ambao waliipigia kelele sana hii kitu ni lazima wajibu maswali hayo, sio ubalozi, tena hao watu wa ubaloozi hapo London wawafahamishe hao viongozi wawili wajibu haraka sana!
Tena hii na Kibelloh/Shariff, ni lazima wajibu maswali pia, kama hao wengine hawapatikani hao maofisa wa ubalozi wamtafute Kibelloh/Shariff, waanze kujibu maswali ya awali wakisubiri wengine kupatikana, this is great labda sasa viongozi wetu wataanza kuogopa kuchukua mgawo kwa wazungu!