The power of sudoku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The power of sudoku

Discussion in 'JF Doctor' started by Speaker, Jun 3, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mchezo unao boa sana pale unapo kua hauja uzoea,
  lakini ni mzuri sana kwa mazoezi ya ubongo/akili yako!
  Uta kusaidia kuongeza kiwango chako cha reasoning,
  memory capacity (kutunza kumbu kumbu).
  nk,
  good for you,good for your child sio play station

  [​IMG]
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sasa ndio tunauchezaje?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jaza kila 3x3 square namba 1 hadi 9,..
  na kila row na column namba 1 hadi 9,...zisi jirudie kabisaa
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukiijaza itakua kama hiii,

  [​IMG]
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mchezo wa sheikh yahya hussein
   
 6. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kuna kipindi nilikuwa addicted na huu mchezo.. umenikumbusha ngoja nianze tena..
   
 7. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  fafanua vizuri jinsi ya kuucheza nahisi kuanza kuupenda penda.
   
 8. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika kila hizo square za ndani, jaza namba 1 hadi 9 bila kujirudia, lakini pia hiyo namba 1 hadi 9 isiwe imejirudia katika row/colum ya box zima. duu ngumu kuelezea..
  yaani kwa maana nyingine kila kibox cha ndani kiwe kina namba 1 hadi tisa, na kila row/colum ya table nzima iwe na namba 1 hadi 9
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  dada mayasa sidhani kama umenifikia, yaani kila gazeti hapo ndio naanzia, napendaga zaidi hasa zikiwa mbili ama tatu kwa pamoja
   
 10. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa nalo kwenye sm yangu nikalifuta. Ngoja nije nilidownload tena.
   
Loading...