The Power of Second Chances.............

Shemeji kwa mapenzi nlo nayo kwa Soulmate wangu sitamani kumpoteza sasa nkifikiria kuwa naye ni binadamu ikijatokea katetereka?! Nawezampa second chance na ikawork?! Sitaki kusema kuwa nitakuwa proud kama nitaachana nae kwa kuwa kanikosea but hakuna nafasi ya kumake up for the second time?? Jamani wanawake hatupendi kubeba na kuchunguliwa na wapya kila kukicha!

...Shem wapenzi wanapokosea na kuomba kupewa nafasi ya pili na aliyekosea akawa tayari kufanya hivyo basi wakosaji hufurahia sana na wakati mwingine penzi linakuwa kama linaanza upya, hivyo usiwe tayari kumpoteza la aziz wako kirahisi namna hiyo, waswahili walisema usiache mbachao...Kuhusu wapenzi wapya na kuchunguliwa hahahahahah lol! (njemba inataka kuona inafananaje LOL! ) mwambie tu umechoka kuchunguliwa :):) hata ikibidi mfunge kitambaa machoni wakati wa kunanihii :):) ili asipate nafasi ya kuchungulia vitu nyeti :):)

Last edited by a moderator:
mm hebu muongezee huyo ulienae ila usimpe aliewahi kupewa chance n akuitumia vibaya
 
Da Mkubwa Kaunga aksante naona umehit pale ambapo nilikuwa ninahofia Mbu my Soulmate asije akapagusia being the victim..... lakini mbona unawezakuta mtu anakuacha lakini baada ya muda hurudi kwa kasi? Sasa bahati akikukuta tayari kwenye mahusiano mengine na wewe hutizami makunyanzi yake unasonga mbele.....unajiuliza mbona karudi?

Anarudi kwa kuwa after separation ndio anagundua amepoteza mtu mwenye thamani!

The way ulivyokuwa una'muabudu' hakudhani kama waweza move on bila yeye! Na hapa ndipo ninaposema wewe mwenyewe unasababisha.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza unapo mpa mtu first chance lazima uweke wazi kua he has only one chance. Na pale anapo kosea take all the time you need before you take any decision. Then ikitokea mnaachana kaa nae mbali, usimpe hata nafasi ya kufikiria there could be a second chance.
When you give some people a second chance it is like giving them a second bullet...

maana yake hii haipaswi kuwa general rule as some people waweza kuipokea kwa mikono miwili na kuitunza hiyo nafasi ya pili kwa maisha yao baada ya kugundua walichokosa walipoichezea ile ya kwanza,which makes them an exception!
 
Soulmate................ubanane na nani na huo mjimwili? Si nitasafocate mie nnaetaka kuwababanisha?! Hakuna hiyo kitu bana.

......mnh,,....soulmate.....kwani hata ukinibananisha utanambia? ahh... Mbu nimeshazeka na hayo.
 
Babu DC, Aspirin and The Finest, swali mnisaidie, hivi second chances mwisho mara ngapi?
Note: mie NKristo, 7x70 sijui kama inatosha....

Mdogo wangu ,

Mie naamini second chance ni haki ya kila mtu ambaye yuko kwenye maprocess ya MMU ila tu pale ambapo tukio limetokea kama ajali au emergency..... Pia second chances zinaweza kutolewa mara nyingi tu endapo mwenzio anazidi kukumbwa na ajali!!

Hata hiyo naomba usome hapo chini (blue colour) halafu uone kama hali hiyo inastahili second chance!!

Kama huwezi kuona hayo bila miwani basi, nakushauri ukanunue silaha moja inaitwa hasira!!

Wapendwa nawaamkua. ........

Najiuliza inawezakana kweli? Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo, mwenye mapenzi ya kweli ana uwezo wa kuresist kukuumiza (anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect) sasa akiamua kuiacha na kuipa nguvu nyumba ndogo kiasi cha yenyewe kukutambia hadharani hadi akakugusa mkono kipofu wewe kuwa bwana eh...bwana/bibi ulonaye sote twala kwa zamu ..............je kweli second chances zinalipa??

Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahahaha
Karibuni waungwana
 
Babu yangu kipenzi.................. sitoi second chance kwa yule, ashadeletiwa yule Babu bali nawaza tu kwa sauti, huyu wa sasa naye akinitenda should I? If not then Babu nitawabadilisha mara ngapi kabla wewe na wababu na wabibi za mtaa wa pili hamjaninyooshea kidole???

Kama hajakutenda kwa nini unaanza kuwazia maovu wewe mjukuu wangu mpenzi MwanajamiiOne?

Mpatie unconditional chance ila uweke mistari ambayo akiivuka basi tena siyo riziki. Ila ukianza kwa kujiandaa kutoa second chance basi unaweza hata kumhamasisha akaitumie hiyo zawadi yake!!

Babu DC!!
 
Shalom Mjukuu mtiifu

umeshapata ushauri wa kukufaa? Kama hujapata basi njoo kesho kwenye maombi saa 12 jioni pale kanisani, utapewa ufunuo

Karibu sana
 
Kama hajakutenda kwa nini unaanza kuwazia maovu wewe mjukuu wangu mpenzi MwanajamiiOne?

Mpatie unconditional chance ila uweke mistari ambayo akiivuka basi tena siyo riziki. Ila ukianza kwa kujiandaa kutoa second chance basi unaweza hata kumhamasisha akaitumie hiyo zawadi yake!!

Babu DC!!

... Dark City, mimi nahisi maelezo ya MwanajamiiOne yanakamilika pale alipohitimisha kwamba anataka kutoa 2nd chance kwa member wa jf.

Hata kutendwa hajatendwa (na wa sasa), iweje ati aanze kufikiria atoe msamaha wa aina gani? Changa la macho hilo..... Utu uzima dawa, mumusa tumbaku na ugolo upige chafya..
 
Kumbe na wewe umestukia?

Sasa kwa nini ajiandae kusaini divorce papers kabla hata hajajiandaa kula viapo?

Babu DC!!
 
Hii salamu siitikii!
Hapo kwenye mabano ukijumlishia na hayo mawazo yako yamebanwa na lace wig, ndo ugomvi wangu na wewe. Ngoja nimuite Nyamayao manake naona sweetie wa Kaizer kapelekwa fungate ya tatu.

Wifi King'asti ujumbe ulioniachia voicemail nimepata... Kakako kakatisha hanemuni, kaniboa!

Huyu MwanajamiiOne hatutakii mema na hizi starter topic zake, anafanya tu kuamsha yalo lala....lol. Enways tunaposema Second chance hivi tunazungumzia kwa wanandoa tu ama na wa mahusiano ya upenzi tu pia? Maana naona kama mahusiano yote haya yakichukuliwa na sawa ni kama vile kutakua na Imbalance.

Mie belief yangu ni kua Second chance katika mahusiano hasa wanandoa ni muhimu. Hakuna alie kamilifu wala hakuna ambae yupo perfect all the way kwa Mpenzi wake, ila sema tu kuna nafuu za kero ambazo husababishwa kati ya mwanadamu na mwanadamu. Kwamba mkae na muishi kwa Amani bila kukoseana to the Extreme! (Sio lazima kucheat peke yake, kuna makosa wanaume wanafanya saa ingine hata hio ya Cheating ni cha mtoto; hata nashangaa ni kwa nini Cheating ndio inaonekana kama imeshika hatamu na the only reason ya kufanya wenza waachane). Tunapokuja swala la kucheat..... Dah! Mummy haya hawasemagi kua nitasamehe.... Haya unasubiri yakutokee ujue kama utasamehe ama Lah. Ukizingatia Circumstances za kucheat zimetofautiana sana....

BTW hizo Konyagi zisha isha kichwani? Huyo mtu kama kosa ni hilo moja tu alifanya na una hakika he loves you, He deseves a chance.... On the condition unanitambulisha ili niwakaribishe chakula cha nyumbani. lol
 
Ndiyo nini hiyo AshaDii?

Babu DC!!!
 
jamani lets try to be realistic, unless kama hii nafasi unampa mpenz ambaye siyo mwandani. lakin kama ni mwenzi wako nakuambia not only second but also 100th chance. manake who is perfect? and what if it was you? and what will be your future intrems of relationship? manake kama ukiondoka hapa unapokwenda ni salama hakuna matatizo?

kwa wakosaji ni vyema makosa yasijirudie ili upendo udumu na kuonyesha kujali kwani huwa naamin kama unampenda mtu basi utajitahd sana usimkosee.
 
Hii salamu siitikii!
Hapo kwenye mabano ukijumlishia na hayo mawazo yako yamebanwa na lace wig, ndo ugomvi wangu na wewe. Ngoja nimuite Nyamayao manake naona sweetie wa Kaizer kapelekwa fungate ya tatu.

uhahaha nimecheka mpaka nimepaliwa nakapilau kangu, mawazo yamebanwa na lacewig.....kuna wakati huwa simmanyi kabisa MJ1 ...kama haupo tayari na hayo mawali Asprin aliyotaja bac kuwa kama mie hapa, cpo tayari kwa hayo so nimejilipua 2, cku hizi cna mahojiano na mwanaume wa m2, ctaki kuuliza uliza mambo kabisa mpaka mwenyewe kajish2kia, cfatilii mambo yake hata kidunchu...sasa MJ1 anaingia kwenye mioyo ya watu akiwa amevaa ndala ataweza?
 
Huyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!

ndio mana nasemaga yule jamaa atajuta sana, King'asti hiyo kazi nitaiweza na macmango juu...
 
Second chance do not work, kwa maana ya mkosaji kujirekebisha. Second chance work, kwa mkosewa kujiridhisha kuwa mambo yako shwari. Once it happen, always it will happen. Huo ndo uzoefu wangu katika mzunguko wa maisha.

Anyway, wataalam wanasema msamaha una faida zaidi kwa anayeutoa, si kwa anayesamehewa. Huwa hawabadiriki asilani, hadi apate ubatizo wa damu.

Kwa hiyo, kutoa second chance, is good kwa anayetoa second chance! Anayepewa second chance, doesn't care na kusema kweli anachofanya ni "kufunika kombe mwanaharam apite" kama wengine walivyokwishasema hapo nyuma!
 
Back
Top Bottom