MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
- Thread starter
- #41
....Mpe tu second chance hakuna ubaya na pia ukumbuke kwamba binadamu hatuko perfect...ali mradi amekuomba samahani kwa kosa alilolitenda na samahani hiyo ukaikubali bila shingo upande basi kumsamehe ni jambo jema...vinginevyo unaweza kuruka....... ukakanyaga..... ....kwani shemeji weye hujawahi kusamehewa kwa (ma)kosa yako/lako!?
Vaislay
Shemeji kwa mapenzi nlo nayo kwa Soulmate wangu sitamani kumpoteza sasa nkifikiria kuwa naye ni binadamu ikijatokea katetereka?! Nawezampa second chance na ikawork?! Sitaki kusema kuwa nitakuwa proud kama nitaachana nae kwa kuwa kanikosea but hakuna nafasi ya kumake up for the second time?? Jamani wanawake hatupendi kubeba na kuchunguliwa na wapya kila kukicha!
Last edited by a moderator: