Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 519
So what?
na kweliMmmh.. ilikuwa timu ya mpira na kocha wao ?
nimewahi kutembea na wanaume 12
je wewe?
Kwa sasa nimetulia.nina ujauzito na december ninafunga ndoa
mbona wewe umetembea na zaidi ya 12 ? unabisha?ndio maana nikiona id yako tu mwili unansisimka kuashiria hatariii!! Lol
unashangaa maana wewe umetembea na mia sio?sio bure utakuwa umerogwa!!!!!!
kama una ujauzito so what!!!!!!!
kama umetembea na wanaume 12 so what!!!!!!!!!!!!
kaa ulee kijacho wako sio kupost ujinga huu
unashangaa maana wewe umetembea na mia sio?
mi sijiuzi nilikuwa natoa free of charge
mbona wewe umetembea na zaidi ya 12 ? Unabisha?
Hahahahaaaa Mpwa umenichekesha hadi basi, sasa kama bidhaa iko available kwanini usiombe ukapewa Mpwa? unataka nije kujilaumu? Hahahahaaaaa Dada poa huyu ameamua kujilipua. JF bhana
Kabla ya dec atakuacha kwenye mataa,ungefunga ndoa kwanza kabla ya mimba.wana jf wengi hawatafunguka maana kuna night stands zinafika chalinze
Hahaaaaaa..eti zinafika chalinze. BONGOLALA ww!!!
ilikuwa awesome life experience u know! wachina .wazungu .waarabu hadi wamasai.^^
Kwa uzoefu wako huu au ushuhuda huu,
Je,,mwanamke atimize idadi ipi ya kulala na wanaume ili aolewe?
Je,,kati ya hao ni wa ngapi ulijutia kumkosa?
Je,,nini kilikusukuma kuishi maisha ya aina hii?
Je,,ni kwa kiasi gani unadhani utawamiss wanaume,ukiwa na mume mmoja tu?
^^
Retired Sister
Nisaidie,nina nia ya kujifunza.
^^
hapana sasa ni kujenga family tu rafikiHongera sana kwa kufikisha idadi hiyo ila usiache kuendele baada ya Ndoa
kwa kukuangalia tu hapa upo above 50. ila wory not ni maisha tuyour perception will never be my reality!!!!!!!
mind you match za Libolo na wanaume wengine tofauti
na baba wa mtoto zitamuathiri mtoto!!!!!!
more than thatHakika wewe ni re-tired sister