Msema ukweli ni mpenz wa mungu, ni kweli numbers bare just numbers it doesn't matter, ni kawaida ya wanadamu kukebehi au kufurahia zuri moja katika mabaya 100 ul;iyofanya wataona mabaya tu kumbe hawajua madam sister mstaafu katubu kwa kukiri ukweli na kuhalalisha sasa yuko kwenye njia kamili wakati huo wanaokukashifu ya kwao wameyaficha nyuma ya makalio yao yanatoa uvundo. Mie huwa sishuhuliki na uvundo wa mtu hata akiuanika natabasamu tuu zaidi nahangaika na kusafisha uvundo wangu ili kupunguza mabaya na niwe safi way forward.
Best
KIKUNGU mie bana kabla sijapata shahada ya ndoa nilivunja vibubu 8 na baada ya ndoa niliongeza vibubu vingine 2 ndo niko navo hadi now na maisha yanaendelea kama kawa. Haya mwagika na wewe ulikula sambuisa ngapi kabla na baada ya ndoa?