Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 234
nimewahi kutembea na wanaume 12
je wewe?
kwa sasa nimetulia.nina ujauzito na december ninafunga ndoa
je wewe?
kwa sasa nimetulia.nina ujauzito na december ninafunga ndoa
hongera kwa one night stand nyingi au ujauzito au kufunga ndoa?Asante kwa taarifa..! Hongera.
nimewahi kutembea na wanaume 12
je wewe?
kwa sasa nimetulia.nina ujauzito na december ninafunga ndoa
nimewahi kutembea na wanaume 12
je wewe?
kwa sasa nimetulia.nina ujauzito na december ninafunga ndoa
hongera kwa one night stand nyingi au ujauzito au kufunga ndoa?
nimepima nipo safe kabisaUsiache kupima VVU
hadi mchina nimetoka naeHahahahhaaaaa utakua mzoefu vya kutosha, I wish ningekuoa wewe? Thank you
Kabla ya dec atakuacha kwenye mataa,ungefunga ndoa kwanza kabla ya mimba.wana jf wengi hawatafunguka maana kuna night stands zinafika chalinze
kweli kabisa mti wenye matunda ndo unaorushiwa maweNimempenda sana Retired Sister amekua mkweli sana na ni mtu mwenye huruma nyingi sana seems hata akishafunga hio ndoa atakau aua ataendeleza huruma, keep it up Sissy, hope na mimi utakuja nihurumia pia. I like it
Kuna wenzio hapa wametembea nao kapu nzima ila hawataki kusema ukweli ndio maana watakuja faster faster kukuswaga hapa
sawa tu kwani bila ndoa sitaishi?Kabla ya dec atakuacha kwenye mataa,ungefunga ndoa kwanza kabla ya mimba.wana jf wengi hawatafunguka maana kuna night stands zinafika chalinze
Nimempenda sana Retired Sister amekua mkweli sana na ni mtu mwenye huruma nyingi sana seems hata akishafunga hio ndoa atakau aua ataendeleza huruma, keep it up Sissy, hope na mimi utakuja nihurumia pia. I like it
Kuna wenzio hapa wametembea nao kapu nzima ila hawataki kusema ukweli ndio maana watakuja faster faster kukuswaga hapa
kumsifia kote huko kumbe na wewe unataka kuhurumiwa!!!!!!!!!
mi sijiuzi nilikuwa natoa free of chargeHahahahaaaa Mpwa umenichekesha hadi basi, sasa kama bidhaa iko available kwanini usiombe ukapewa Mpwa? unataka nije kujilaumu? Hahahahaaaaa Dada poa huyu ameamua kujilipua. JF bhana