una mmiss kwa lipi? for hotsex ambayo huyakaa uisahau? au
Si useme tu msukumo wa kuvua kyupi??? Hivi unajua hata mbuzi ana huo msukumo tatizo tu anakuwa hana kyupi? Mbuzi nae ana kapawa ofu lavu????
Mie nampendekeza shansarie kama huna pingamizi la yeye kukuhoji.
-tunaweza kupenda bila kumake love/kusex
-nini kinafanya uwe na power of love?
-manifestation yake?
-power of love lazima iwepo kwenye mahusiano
-kwani huwa inafanya penzi lidumu?
-naweza kuiita uvumilivu?
-ni tendo la hiari?
hehehehehe wamwogopa babu eeesina shida kwa hilo wangu.
ila siyo babu ani interview, maybe an opposite sex lol!!
Kujaliwa na matendo yanachangia sana kuwepo na power of love..ila nyingine ni naturally depending tunning ya mtu..
kujaliwa nini wangu>?
hehehehe we ngoja tubaby inamaana umenipania?
nini ambacho hujui kuhusu mimi?