The power of Love...

Babu lala basi,tutaongea kesho asubuhi,
Taifa linajengwa na sisi wenye moyo wa kununua bia kwa wingi.

Huyo anayekuuliza maswali mbona hajaomba kibali kwangu? Hajui mim na wewe hatujafahamiana gulioni katerero??

Ntaua mtu wallah:embarrassed:
 
Kunakua na msukumo ndani ya moyo na akili unaopelekea kufanya kitu ambacho inakuwa ni vigumu kukifanya kwa mtu mwingine tofauti na yule nimpendaye.

Si useme tu msukumo wa kuvua kyupi??? Hivi unajua hata mbuzi ana huo msukumo tatizo tu anakuwa hana kyupi? Mbuzi nae ana kapawa ofu lavu????
 
Kunakua na msukumo ndani ya moyo na akili unaopelekea kufanya kitu ambacho inakuwa ni vigumu kukifanya kwa mtu mwingine tofauti na yule nimpendaye.

Like what jawilat, wewe umesema uliwahi kuiona power of love, na kiashiria ni kufanya kitu kwa msukumo huo msukumo wako uliufanya kwenye nini?
 
Taifa linajengwa na sisi wenye moyo wa kununua bia kwa wingi.

Huyo anayekuuliza maswali mbona hajaomba kibali kwangu? Hajui mim na wewe hatujafahamiana gulioni katerero??

Ntaua mtu wallah:embarrassed:

Uuuwi babu jamani taratibu na mbavu zangu....
 
Kwenye mapenzi,ile nguvu ya mapeni inaweza kufanya mtu kupenda kupitiliza naweza nikasema hivyo,
inafanya kutenda mambo yaliyovuka mipaka yote sababu ya hii power of love,
Like what jawilat, wewe umesema uliwahi kuiona power of love, na kiashiria ni kufanya kitu kwa msukumo huo msukumo wako uliufanya kwenye nini?
 
Power of love kwa mtu inaweza ikasababisha usione mwingine kabisa awe rafiki,mzazi au ndugu,
binafsi nimewahi kupatwa na power of love,kwa bwana mmoja hivi,
nilikua tayari kwa lolote kwake,siyo kwa alivyonipenda ila ni kwa nilivyompenda,
 
Kwenye mapenzi,ile nguvu ya mapeni inaweza kufanya mtu kupenda kupitiliza naweza nikasema hivyo,
inafanya kutenda mambo yaliyovuka mipaka yote sababu ya hii power of love,

mapenzi!! ya ku do ama?
utamu wa mapenzi unaweza kuwa nafasi kiasi gani?
 
Wajumbe hebu uacheni mjadala kidogo.
we have alot to discuss...

Asprin nitakuomba ruhusa baadae..
Samahani mkuu, hukutoa angalizo kuwa hatutakiwi kuleta wivu kwenye kathread. Haka ka Jawilat kameshanizungusha sana nikajua leo ndo nakamwagia mai pawa ofu lavu from ze mido ofu my kitovu endi mapaja.....

Baada ya kusema hayo napenda kuwatangazia rasmi kuwa mabingwa wa kombe la dunia (IRAN) wamenikaribisha kula ka lunch pale Ajentina, jirani na TipTop Manzese. Simba wote mnakaribishwa, mje wizauti.
 
Last edited by a moderator:
Babu leo banana au wanzuki?
 
Last edited by a moderator:
Power of love kwa mtu inaweza ikasababisha usione mwingine kabisa awe rafiki,mzazi au ndugu,
binafsi nimewahi kupatwa na power of love,kwa bwana mmoja hivi,
nilikua tayari kwa lolote kwake,siyo kwa alivyonipenda ila ni kwa nilivyompenda,

Kwa nini unatumia wakati uliopita kwenye sentesi yako?
unataka kusema hiyo power of love haipo tena?
 
Babu leo banana au wanzuki?
Kangara. Afu kuna kaMod kamenambia eti nachakachua sred......... hivi sredi nazo zina mchepuko? Nikila Ban usinisahau kwenye ufalme wako Wozap.......... Mi nataka kujifungua na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…