The Poacher

The Poacher

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,283
Reaction score
4,556
Hey guys I am showing you the gun nothing else!

attachment.php
 
he's pulling the trigger using the middle finger. SIO MCHEZO
 
Tobah !! hii silaha yachini mbona haina ulinzi huyu jamaa anajiamini nini ?
 
mmh hiyo sijui ni SMG ya mwaka 47 lakn hizo huwa ni hatari sana
 
of course the GUN...THE NATURAL ONE...:llama:
 
Huyu siyo pocha hata kidogo. Inaonesha aliomba hii asault gun apigenayo picha na simzoefu wa kushika kitu hiki hata kidogo: mtazame anajaribu kushika triger na MIDDLE finger-hii haiwezekani: mkono wa kushoto umeshika kwenye BARREL- hii haiwezekani kwani wakati wa firering barrel huwa ya moto. Period.
 
Nadhani alijua usiku hatutamuona kama ana bunduki ya kulenga wanyama
 
lol nimecheka hadi namuonea huruma huyu poacher.
 
Back
Top Bottom