The Other Half (Simulizi)

am in mkuu...
 
Mkuu naomba uniongeze kwenye tag list yako, nimekuwa msomaji wa muda mrefu wa thread zako nyingi sana!
 
Heshima kwako Mkuu... Naona bampa to bampa...kazi juu ya kazi! Ebana hii stori dah..by the way naamini kuna watu duniani baadhi yetu wana machale Sana.. Ofcoz pamoja na hii kuwa story lakini kiuhalisia binafsi naamini kwamba population kubwa ya dunia itaangamia.name sababu itakua ni majanga ya kiasili..uko sahihi we are not alone its just the matter of time..let's wait and see!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…