The Only Man I ever met in my Lifetime so far

Huyo Ibrahim hajawahi kumpenda hata kidogo huyo cuzo ila mdada ndo alimpenda Sana jamaa

Hizo zilikuwa sababu tu za kumkataa,

Mm Kuna mdada Ana force hiv HV namtafutia tu sabb kwan hat simuelewi,,

Huyo mdada angeolewa na hyo jamaa angeseka tu,
 
Nimeona huruma tu kwa huyo Ibrahim ila sijaona upendo kwake. Maana mda wote uhai wa mahusiano yao ulikuwu unategemea juhudi za ndugu yako na sio Ibrahim. Alichokifanya huyo Ibrahim ni kumuonea huruma tu ndugu yako na kumpa mda wake when he needed ili kumfanya ndugu yako alizike tu.

Kama kwel angekuwa anampenda toka moyoni angekuwa mstari wa mbele na yeye kulipigania penzi lao kila wakati, kupoteza bikra isinge kuwa sababu tosha ya yeye kumuacha, ilitakiwa yeye ndio awe mstari wa mbele kumfundisha maadili ya imani yake kama kwel aliitaji awe hvyo (sio rahis mtu kubadir din akiwa bado yupo kwao bila kupata support)
 
It's a nice story,nimefatilia hadi mwisho, nimependa misimamo ya Ibrahim ila kuhusu imani tofauti, kumbadilisha mtu imani yake ya dini fulani eti ili mradi apate kitu fulani kama ndoa nk, naona kama ni mateso na utumwa hivi, nadhani hilo halikutakiwa kuwa kikwazo sana kwa Ibrahim muhimu ni upendo tu.

Ni kama Ibrahim hakumpenda cousin Rehema hivi, na sababu kuu ikiwa ni utofauti wa dini.
Imani ni msingi mzito sana wa mahusiano, ukipuuzia utaumia ukiwa ndani ya ndoa, imani ni maisha usipuuzie
 
Imani ni msingi mzito sana wa mahusiano, ukipuuzia utaumia ukiwa ndani ya ndoa, imani ni maisha usipuuzie
Sawa ila unahisi ni sahihi kumshawishi mtu afate dini yako wewe ili tu umuoe? Why kila mtu asibaki na dini yake na maisha yakaendelea
 
Sawa ila unahisi ni sahihi kumshawishi mtu afate dini yako wewe ili tu umuoe? Why kila mtu asibaki na dini yake na maisha yakaendelea
Hapa inategemea na aina ya mtu, ni rahisi kumshawishi wa dhehebu tofauti kuliko dini...hapa naongelea Ukristo na uislam ni pagumu mno na mtatesana sana.
Lakini dhehebu hutofautiana vitu vidogo mno ni rahisi kuoana.
Ikiwa mimi ni kristo ni ngumu kuanza kumshawishi mwislamu imara kuwa mristo ili tuoane....labda mwislam jina
 
ibra alikuwa bize na harakati za maisha ajawai kumpenda cousin wetu hata kidogo

kwanza kabisa, true love never die. since day one tunaona Cousin kampambania sana ibra kutengeneza connection,
cousin ame initiate love
cousin amempeleka ibra home
cousin amefata ibra shule (advance)
cousin anatafuta ibra chuo
cousin anakutana na ibra tena lakin kwa effort yake mwenyewe😥😥 hapo ibra ametulia tu, come on ibraaa!

cousin alipoteza bikra kwasababu ya ushawishi tu wa baharia mmoja lakin truly alimpenda ibra
cousin kupoteza bikra sio kigezo cha shekh ibraa kumuacha cousin wetu,
na kigezo cha dini na mienendo ya cousin ibra kama alimpenda kweli basi angekuwa ana muelekeza cousin wetu jinsi ya kuvaa na mengine wakati wapo kwenye mausiano

inshort shekh ibraa ajaonesha juhudi zozote kwenye kutetea mapenzi yake na cousin wetu
Sometimes Mapenzi yanaumiza sana
 
Why mkuu? Mtoto ataamua afate dini ipi ya baba au mama mbona rahisi tu
Sijui kwa wengine kwa devoted religious people ni ngumu ..... kuna matukio kama Idi, Pasaka, Krismasi, Mapambo ya nyumba kama picha za yesu na mfano wake, Malezi na Makuzi ya Watoto... Binafsi naona imani tofauti kuoana inaweza kusumbua somewhere,,,,,, Najua devoted muslim hawakubaliani wala kushiriki pasaka, Krismas na mfano wake itakuwaje kwa mke wake, Je atahudhuria matukio kama hayo Bila ubavu wake, siku zote atasimama Kanisani akiwa peke yake!!! Binafsi namshukuru Mungu niliye naye tuko imani Moja ingawa tunatofautiana madhehebu
 
Why mkuu? Mtoto ataamua afate dini ipi ya baba au mama mbona rahisi tu
We unasema tu ila ujui ni jinsi gan inauma kuona unaenda kuabudu peke ako ili hali wenzio wameongozana na familia zao. Utakubal watoto wote wafaye upande wa baba yao alaf ww ndan uwe una abudu peke ako
 
It's a nice story,nimefatilia hadi mwisho, nimependa misimamo ya Ibrahim ila kuhusu imani tofauti, kumbadilisha mtu imani yake ya dini fulani eti ili mradi apate kitu fulani kama ndoa nk, naona kama ni mateso na utumwa hivi, nadhani hilo halikutakiwa kuwa kikwazo sana kwa Ibrahim muhimu ni upendo tu.

Ni kama Ibrahim hakumpenda cousin Rehema hivi, na sababu kuu ikiwa ni utofauti wa dini.
Ibrahim huyo ni uchafu tu
 
Mtoa mada anamnanga binamu yake
kisa yeye kasoma na ana maisha mazuri
ambayo anahisi huyo binamu yake angeyapata kama angeolewa na huyo mshkaji muislamu
 
Sijui kwa wengine kwa devoted religious people ni ngumu ..... kuna matukio kama Idi, Pasaka, Krismasi, Mapambo ya nyumba kama picha za yesu na mfano wake, Malezi na Makuzi ya Watoto... Binafsi naona imani tofauti kuoana inaweza kusumbua somewhere,,,,,, Najua devoted muslim hawakubaliani wala kushiriki pasaka, Krismas na mfano wake itakuwaje kwa mke wake, Je atahudhuria matukio kama hayo Bila ubavu wake, siku zote atasimama Kanisani akiwa peke yake!!! Binafsi namshukuru Mungu niliye naye tuko imani Moja ingawa tunatofautiana madhehebu
Haya mambo ya kubadilisha dini kwasababu za mapenzi mara nyingi huwa ni za muda tu.

Mkishafikisha miaka 40, 50 huko kila mtu anakuwa original kabisa hata kama ni dini au mizimu ya kwao anaanza kwenda kufanya huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom