Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 657
- 1,485
- Thread starter
- #41
Samahani kwa kunielewa vibaya, sikusudii kumnanga binamu yangu ila nimejifunza my Cousin Loved Ibrahim bila kumfahamu kwa kujua ni familia gani anatamani kuijenga!!! Na haya makosa wengi tunayafanya, from day one Ibrahim never changed his standards hivyo kuendelea kumpenda mtu ambaye fika unafahamu anatamani mke wake afanane vipi na wewe hufanani hivyo huoni kuna shida!!!Mtoa mada anamnanga binamu yake
kisa yeye kasoma na ana maisha mazuri
ambayo anahisi huyo binamu yake angeyapata kama angeolewa na huyo mshkaji muislamu
Ibrahim vivyo hivyo ana makosa kwa kutafanya jutihada kumsaidia mwenzake afikie vile alivyotaka LAKINI KITU PEKEE AM REAL PROUD OF HIM HAJAWAHI KUUCHEZEA MWILI WA BINAMU YANGU KITU AMBACHO WANAUME WENGI HAMUWEZI!!!!!
Wengi humu ni siku moja na pili ni ngono whether una malengo naye au huna tena wakati mwingine na mimba juu then unamwambia tutalea mtoto baada ya hapo kila mtu na sabini zake....