kweli kabisa naona hata pakistan pia,wanaishia kulilia lia tu na kuwahonga hela maana one third of pakistan's military budget inalipwa na us!yote hiyo kubembeleza urafiki!
....hakuna bure au kitu kinaitwa msaada kutoka America,hiyo misaada ni madeni tuu na wananchi ndio watakuja kulipa
Ni vigumu kueleweka. Pia ipo hii.Hii habari sijailewa mkuu.
Kaazi kweli kweli!Several hundred Berbers marched into the courtyard of the Libyan prime minister's office on Sunday to express their anger at the country's new cabinet, which does not include anyone from their large ethnic group.
The Amazigh, or Berber, people were stunned when the country's new interim government was announced on Tuesday and none of the 26 ministerial posts went to one of their own.
They say they make up around 10-15 percent of the population and played an important role in the rebellion that toppled dictator Muammar Gaddafi.
"We do not recognise this government, and all Libyans must know that we are a part, a powerful and effective part of the country," said Mohammed Kaabr, a doctoral student and part of a delegation that spoke to Prime Minister Abdurrahim El-Keib.
zaidi hapa UPDATE 1-Libyan Berbers vent rage over cabinet exclusion | News by Country | Reuters
Shida ya haya mataifa makubwa ni kwamba huwa wana justify ushindi wa vita mara baada ya kiongozi mkuu wa serikali kuuwawa ama kukamatwa,kama ilivyokuwa Iraki na sasa Libya.One local official was killed and a militia base reduced to ruins in a clash between rival armed groups near the Libyan capital, the latest flare-up of tension between militias that is destabilising the new Libya.
Two months after Muammar Gaddafi was killed, Libya's new government is still unable to impose its authority on the ground, leaving security in the hands of militias which answer only to themselves and often wage turf wars with their rivals.
zaidi hapa Rival militias wage turf war near Libyan capital | News by Country | Reuters
Wakati hawa wanaotaka domokrasia wanachapana, wajanja wanagida mafuta.
Royal Dutch Shell has provisionally booked an oil tanker to load a cargo of Libyan crude in early December for Singapore, which is likely to be the first for the city state since the end of the civil war, traders said on Thursday.
UPDATE 1-Shell to ship Libyan crude to Singapore -trade | News by Country | Reuters
Haya mataifa makubwa (majambazi)Hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya. Nia yao ni kuvuna shamba la bibi bila ya kuwepo mlinzi, wakati huo huo huwa wamewapa rebels DOMOkrasia wanalolitaka. Majambazi na wao hujichukulia mali na vitu vya thamani wakiwaacha wafata upepo katika fujo zao (DOMOkrasi) plus deni.Shida ya haya mataifa makubwa ni kwamba huwa wana justify ushindi wa vita mara baada ya kiongozi mkuu wa serikali kuuwawa ama kukamatwa,kama ilivyokuwa Iraki na sasa Libya.
Na hiyo ndiyo sababu yao kubwa ya kuona habari za huko hazipewi tean uzito,lakini ukweli ni kwamba vita bado zinaendelea maeneo hayo.