Nimeisoma hiyo link,walibya ni wananchi wajinga kuliko wananchi wa taifa lolote duniani.Polisi wa utawala wa Gaddafi walishambuliwa na majeshi yao,sasa ni zamu ya hawa wapya.Since Jibril alisoma marekani na ndiye anayepewa support na US,bado kuna elements za wanaotaka sharia law kuwa stronger.
............."I think the US is very happy if Libya becomes a chaotic place where there is no real central power opposing anything they do," he shared adding that "political stability and having the oil flow are two very different things."
QUOTE]
Kimsingi nadhani ni wazi sasa hata kwa wale waliokuwa wakiunga mkono western backed military operation against late Gadaffi kuwa Amerika ilikuwa na agenda ya siri na hili litawaathiri Walibya wengi na kwa miaka mingi hata wale waliokuwa wakishangilia kifo cha Gadaffi. Ni fundisho kwa Afrika nzima na dunia kwa ujumla.
mkuu wajinga ndo waliwao,wengi wao walikuwa mujahedeen,sasa watageukwa,watakaopewa silaha na kulindwa siyo wao,watakuwa wapinzani dhidi ya kina Jibril kwa muda,watafeel "betrayed" kama wasipokubaliwa kuinstall sharia law.Hao ndo wale waliokuwa ground,ndo waliomwua Gaddafi wao ni wapinzani tu kwasasa,nchi inatawaliwa na magenge ya tofauti kutegemea na ulipo ie west,south or east...walitumika...Nimeisoma hiyo link,walibya ni wananchi wajinga kuliko wananchi wa taifa lolote duniani.Polisi wa utawala wa Gaddafi walishambuliwa na majeshi yao,sasa ni zamu ya hawa wapya.Since Jibril alisoma marekani na ndiye anayepewa support na US,bado kuna elements za wanaotaka sharia law kuwa stronger.
............."I think the US is very happy if Libya becomes a chaotic place where there is no real central power opposing anything they do," he shared adding that "political stability and having the oil flow are two very different things."
QUOTE]
Kimsingi nadhani ni wazi sasa hata kwa wale waliokuwa wakiunga mkono western backed military operation against late Gadaffi kuwa Amerika ilikuwa na agenda ya siri na hili litawaathiri Walibya wengi na kwa miaka mingi hata wale waliokuwa wakishangilia kifo cha Gadaffi. Ni fundisho kwa Afrika nzima na dunia kwa ujumla.
jmushi1Mkuu EMT,i beg to differ,
A new Libya began the day Gaddafi got killed.
jmushi1
How long did it take Gadaffi to build the so called the old Libya? I hite Gadaffi as I do to CCM and other black colonialist
Kuvunja serikali ya ukoo wa gadaffi mapema ni muhimu sana. Gadaffi is not equal to Libya!!!.Libyans will only dream of having an "old Libya" To destroy a nation is easier and it takes shorter time to do it,where as building it is the opposite.
Kuvunja serikali ya ukoo wa gadaffi mapema ni muhimu sana. Gadaffi is not equal to Libya!!!.
Libya's former spy chief Abdullah al-Senussi and his family were taken by surprise by his extradition to his home country after Mauritania assured it would not happen, his daughter said on Thursday.
The fugitive and former right-hand man of slain Libyan dictator Moamer Kadhafi -- who is wanted by the International Criminal Court for crimes against humanity -- was extradited by Mauritania on Wednesday.
Habari yote ipo hapa link Libya ex-spy chief 'caught off guard by extradition' | Radio Netherlands Worldwide