The New Libya...

The New Libya...

Libya's newly-elected General National Congress has elected Mustafa Abu Shagour as the country's next prime minister.

Abu Shagour, the North African country's current deputy prime minister, beat Mahmoud Jibril in a second-round runoff held by the 200-seat national assembly on Wednesday, Reuters reported. zaidi hapa libya
 
Walibya ni wajinga kupita kiasi.Wangekubali kuungwa mkono kumwondoa Gaddafi bila ya kulisambaratisha taifa lao.Nina uhakika Libya hakutakuwa na amani wala maendeleo maybe in the next 100 years.Pumbavu sana hao watu.Na hiyo elimu ambayo ilikuwa bure na social services,itakuwa replaced na ujinga pamoja na vifo.Yote hiyo ni kwasababu ya ukabila wao.Just imagine wote ni waislam lakini uislam umeshindwa kuwaunganisha,na badala yake ni ukabila umewatenganisha!ama kweli mijinga ndo iliwayo.
 
Mkuu sidhani kama ni ujinga wa Walibya, binafsi naamini hakuna taifa tifa lililo salama kwa Marekani halimradi lina rasilimali ambazo Marekani inazihitaji.Kumbuka hata humu jamvini wana JF wengi waliunga mkono uvamizi na hata kuuawa kikatili kwa Gaddafi. Akili za binadamu ni sawa na udongo mbichi wa mfinyanzi. Waweza kufinyangwa kwa kutoa taswira ambayo mfinyanzi anaitaka. Bongo za Walibya zilifinyangwa, na zinaendelea kufinyangwa. Libya haitatulia sio kwa sababu ya tofauti ya makabila bali Marekani haitotaka itulie kama ambavyo imefanya Iraq na Afghanistan na bila ya shaka inaelekea Iran. Wakati vurugu zitakapokuwa zinaendelea Libya Marekani watakuwa wanajichotea mafuta.
 
Mkuu fuatilia kwa makini ndo utajuwa ni ukabila.Yani watu wa dini moja,lakini hilo halikutosha kuwaunganisha,kabila ndo imekuwa tatizo.It is something we need to learn from.Hata sisi kwenye taifa letu tuna matatizo.Lakini kama mwalimu alivyosema,ubaguzi unaanza kwa kitu kimoja,then unaendelea kwa mengine.Asilimia kubwa ya walibya ni waislam,lakini hilo halijatosha kuwaweka pamoja.Mmarekani yeye anachofanya ni kutake advantage of such things,siyo yeye aliwafinyanga ubongo,ni wenyewe kwa wenyewe wamefinyangana.
 
Sina jipya la kusema tena hapa.. niliwaambia mataifa ya magharibi yanatutengenezea somalia nyingine kaskazini mwa afrika na ndio hiyo, na mali nayo inaelekea hukohuko. Mwisho wa siku ni sisi haya shime na tuanze kutia maji... kwa maana wanavyofilisika kwa kasi ndivyo wanavyowaza kufanya ujambazi katika nchi zetu.
 
Mkuu sidhani kama ni ujinga wa Walibya, binafsi naamini hakuna taifa tifa lililo salama kwa Marekani halimradi lina rasilimali ambazo Marekani inazihitaji.Kumbuka hata humu jamvini wana JF wengi waliunga mkono uvamizi na hata kuuawa kikatili kwa Gaddafi. Akili za binadamu ni sawa na udongo mbichi wa mfinyanzi. Waweza kufinyangwa kwa kutoa taswira ambayo mfinyanzi anaitaka. Bongo za Walibya zilifinyangwa, na zinaendelea kufinyangwa. Libya haitatulia sio kwa sababu ya tofauti ya makabila bali Marekani haitotaka itulie kama ambavyo imefanya Iraq na Afghanistan na bila ya shaka inaelekea Iran. Wakati vurugu zitakapokuwa zinaendelea Libya Marekani watakuwa wanajichotea mafuta.

Mkuu fuatilia kwa makini ndo utajuwa ni ukabila.Yani watu wa dini moja,lakini hilo halikutosha kuwaunganisha,kabila ndo imekuwa tatizo.It is something we need to learn from.Hata sisi kwenye taifa letu tuna matatizo.Lakini kama mwalimu alivyosema,ubaguzi unaanza kwa kitu kimoja,then unaendelea kwa mengine.Asilimia kubwa ya walibya ni waislam,lakini hilo halijatosha kuwaweka pamoja.Mmarekani yeye anachofanya ni kutake advantage of such things,siyo yeye aliwafinyanga ubongo,ni wenyewe kwa wenyewe wamefinyangana.

Huyu jamaa Mahdi Darius ameandika makala nyingi kuhusu Libya.

Hapa anatoa tathmini yake. Link darius
 
Gadafi atakumbukwa sana japo alikuwa watu wanasema fisadi lakini alikuwa Ana wajali watu wake slibadili jangwa kuwa Greenland ni bora baba jambazi anaeiba na kula na watoto kuliko Yule anaekula na Malaya....lowasa kaiba Kama tunavoamini lakini tutamkumbuka kwa kuhamasisha na kufanikisha ujenzi wa shule za kata na watoto wetu wengi wanafaidika nazo japo zina changamoto zake lakini zipo na zimezidi mahitaji....wa Libya walitakiwa Wadai katiba mpya na sio kufanya walichofanya ona faida ya maamuzi mepesi Kama baadhi ya viongozi wetu...huwa najiuliza swali ambalo sipati jibu mpaka Leo.(Kama walibya walikuwa wanapata kila kitu kasoro uhuru je sisi watz ambeo hatupati chochote tukichukua maamuzi mepesi tungewafanyaje watawala wetu) njaa tamaa na kutofikiria kabla ya kutenda ndio kinawamaliza walibya god bless Libya
 
Mkuu sidhani kama ni ujinga wa Walibya, binafsi naamini hakuna taifa tifa lililo salama kwa Marekani halimradi lina rasilimali ambazo Marekani inazihitaji.Kumbuka hata humu jamvini wana JF wengi waliunga mkono uvamizi na hata kuuawa kikatili kwa Gaddafi. Akili za binadamu ni sawa na udongo mbichi wa mfinyanzi. Waweza kufinyangwa kwa kutoa taswira ambayo mfinyanzi anaitaka. Bongo za Walibya zilifinyangwa, na zinaendelea kufinyangwa. Libya haitatulia sio kwa sababu ya tofauti ya makabila bali Marekani haitotaka itulie kama ambavyo imefanya Iraq na Afghanistan na bila ya shaka inaelekea Iran. Wakati vurugu zitakapokuwa zinaendelea Libya Marekani watakuwa wanajichotea mafuta.

Correct !!!brother 100% hii ndo point tena ina ushahidi wa wazi
 
One of the Libyan rebels credited with capturing ex-leader Muammar Gaddafi last year has been buried in his hometown of Misrata.

Link BBC News - Libya: Gaddafi 'captor' Omran Shaaban buried in Misrata
Mkuu huyo jamaa ndiye yule aliyekuwa ameshika bastola pembeni ya kichwa cha Gaddafi shortly baada ya kupigwa risasi.Hizo picha mbili chini ndo yeye,yule alikuwa mstari wa mbele,na yeye wamemkamata wakamtorture na risasi wakampiga,na yeye kafa kwa mateso kweli kweli,however Libya mpya ni noma,hakufai kabisa...

3592040-16x9-700x394.jpg

Libya_841376d.jpg
 
Halafu huyu mrembo inaonyesha anajuwa "mambo" mengi sana...
640x392_35522_236039.jpg

Orly Weinerman, an Israeli model and actress said that she was in a six-year relationship with Saif al-Islam Qaddafi. Weinerman said that Britain's former Prime Minister, Tony Blair, was Saif's "close friend" and it is time that the ex-PM to return some loyalty
 
Sidhani kwamba Tony Blair anachakulipa kwa sababu urafiki na watu wa Magharibi ni urafiki wa hila na ujanja mwingi sana, kama S. al Isalam atanyongwa sitashangaa kusikia Blair akishangilia hilo.
 
Mkuu huyo jamaa ndiye yule aliyekuwa ameshika bastola pembeni ya kichwa cha Gaddafi shortly baada ya kupigwa risasi.Hizo picha mbili chini ndo yeye,yule alikuwa mstari wa mbele,na yeye wamemkamata wakamtorture na risasi wakampiga,na yeye kafa kwa mateso kweli kweli,however Libya mpya ni noma,hakufai kabisa...

3592040-16x9-700x394.jpg

Libya_841376d.jpg

Nasikitika mtandao si mzuri nimeshindwa kufungua hiyo link, si vibaya ukituhabarisha ilitokeaje???
 
Habari kamili hapo chini mkuu...Inasemekana alikuwa akitokea "vacation",waka mpin point wakati akiwa anaelekea Misrata,ilikuwa ni watu wa Bani Walid,alijaribu kujibu mapigo ya risasi,lakini risasi kadhaa zikampata(moja mgongoni),zilizopelekea yeye ku paralyze kuanzia kiunoni kwenda chini.Ndipo wakamkamata na kwenda naye huko Bani Walid na kukaa naye kwa siku 50 wakiwa wanamtorture.Aliombewa msamaha na kiongozi wa sasa(Rais wa Libya),wakamwachia,na akapelekwa ufaransa kwa matibabu zaidi lakini hakusavaivu.What goes around comes around i guess,it is the power of karma.

Libya: Gaddafi 'captor' Omran Shaaban buried in Misrata

One of the Libyan rebels credited with capturing ex-leader Muammar Gaddafi last year has been buried in his hometown of Misrata.
Omran Ben Shaaban was kidnapped, shot and tortured by people who many in Misrata believe were supporters of the late dictator.

The 22-year-old died in France, where he was receiving medical treatment for his injuries.
His body was flown back to Libya, met by hundreds of mourners.

In Misrata, protesters called for the government to avenge his death.
Mr Shaaban was kidnapped by armed men in July and held for 50 days in the town of Bani Walid, a former Gaddafi stronghold that lies south-east of the capital Tripoli.

He was freed last week following the mediation efforts of Mohamed Magarief, Libya's interim leader and president of the ruling General National Congress (GNC).

Mr Shaaban arrived in Misrata with torture marks on his body and a bullet wound near his spinal cord, according to reports. He was taken to Paris for treatment, but died on Monday.

Hundreds of people gathered at the airport in Misrata to greet his body. His coffin was carried in a procession to a football stadium where funeral prayers were held.

Mr Shaaban came to prominence on 20 October last year when he was pictured at the scene as Col Gaddafi was dragged from a drainage pipe where he was hiding in Sirte.
The GNC mourned the "loss of a brave hero" and has said it will take all necessary measures to bring the perpetrators to justice, according to a statement issued on the official Lana news agency

Shaaban and three friends were attacked and kidnapped by Gadhafi loyalists in July near the southern town of Bani Walid, where many Gadhafi supporters still live. Relatives told the Associated Press Shaaban was shot twice and paralyzed from the waist down. When Libya's president Mohammed el-Megarif managed to get Shaaban and two of his friends released this month, Shaaban was "skin and bones."

"It was clear he was beaten a lot," his brother Abdullah Shaaban told the AP. "His entire chest was sliced with razors. His face had changed. It wasn't my brother that I knew."
http://abcnews.go.com/blogs/headlines/2012/09/gadhafis-captor-tortured-and-killed/
 
Kwa kumuua gadafi kikatili na kumfukia (sio kumzika) kusikojulikana huenda wamejitengenezea maadui katili.

habari kamili hapo chini mkuu...inasemekana alikuwa akitokea "vacation",waka mpin point wakati akiwa anaelekea misrata,ilikuwa ni watu wa bani walid,alijaribu kujibu mapigo ya risasi,lakini risasi kadhaa zikampata(moja mgongoni),zilizopelekea yeye ku paralyze kuanzia kiunoni kwenda chini.ndipo wakamkamata na kwenda naye huko bani walid na kukaa naye kwa siku 50 wakiwa wanamtorture.aliombewa msamaha na kiongozi wa sasa(rais wa libya),wakamwachia,na akapelekwa ufaransa kwa matibabu zaidi lakini hakusavaivu.what goes around comes around i guess,it is the power of karma.

Gadhafi's Captor Tortured and Killed - ABC News
 
Hivi zile huduma za Gadaffi alizokuwa anawapa walibiya zimeongezeka au zimepungua?
 
Libya hawana serikali moja,kuna maeneo serikali hairushi mguu.Hata yule mtoto wa Gaddafi bado anashikiliwa na kundi la Zintan ambao wamekataa kumkabidhi kwa serikali hadi sasa.
 
Hivi zile huduma za Gadaffi alizokuwa anawapa walibiya zimeongezeka au zimepungua?

Zile huduma zimeongezeka marudufu na pia zile bilioni 160 ambazo wajanja wa US namataifa ya NATO wamewarudishia.
Sasa wanagawana kwa kapu.Panda ndege ukifika Libya waambie wewe ni kutoka Toureg Tribe(ngozi nyeusi) wakupatie zako. (utani)

Mziki ulioko Libya ni ndombolo mkuu

Kama alivyosema Jmushi1 hapo juu, hata serikali hawana,

Libyan Prime Minister Mustafa Abu Shagur dismissed

Libya's Prime Minister-elect has been dismissed from his post, after failing for a second time to win parliamentary approval for a new cabinet.

Mustafa Abu Shagur had called for the formation of an "emergency government", consisting of just 10 ministries.

zaidi hapa BBC News - Libyan Prime Minister Mustafa Abu Shagur dismissed
 
Mchuma janga hula na wa kwao!!!!wacha wamalizane wameyataka

Mwenzako akinyolewa wewe tia maji, kwa jinsi mataifa ya Magharibi walivyo wajanja hakuna taifa lililosalama labda wenyewe waamue iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom