The most dangerous sex position revealed in study

The most dangerous sex position revealed in study

Kuna picha kadhaa ya ume za kiume zilizofunjika na nyingine hadi kuoza nimeweka jukwaa la mambo ya kikubwa sababu hapa si vizuri wanaingia hata chekechea.
Nina zaidi ya miaka minne humu ila sijui hilo jukwaa linapatikana wapi na unaingiaje.. hebu nifae ndugu yako.
 
Nina zaidi ya miaka minne humu ila sijui hilo jukwaa linapatikana wapi na unaingiaje.. hebu nifae ndugu yako.

lipo kenye orodha ya majukwaa hapa na haliingiliki kirahisi kama majukwaa mengine ila kwa tiketi utakayopewa na uongozi wa JF, that is all. Ukikutana na masahibu huko kama hujakomaa shauri yako ndio maana linaitwa la kikubwa. Wengine wanaenda kuchungulia na kisha wanarudi kinyumenyume bila kuridia tena wakati wengine wanashangilia kuwamo.
 
Rekebisha heading yako mkuu...

Neno kuvunjika hutumika kwa vitu ambavyo ni yabisi mathalani mifupa...

Nyama za misuli huwa zinachanika, ikumbukwe uume haujaundwa kwa mifupa..
Penis zinavunjika mkuu.
 
Back
Top Bottom