The Most Beautiful City in Africa

The Most Beautiful City in Africa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
attachment.php

attachment.php

attachment.php

United Nations declares Kigali, Rwanda's capital the Most beautiful city in Africa.
 

Attachments

  • 12308426_10153683706760138_6496616306690498347_n.jpg
    12308426_10153683706760138_6496616306690498347_n.jpg
    41.7 KB · Views: 2,697
  • 12250144_10153683706775138_7878392791368165016_n.jpg
    12250144_10153683706775138_7878392791368165016_n.jpg
    35.2 KB · Views: 2,723
  • 12313999_10153683706925138_3308378202319493364_n.jpg
    12313999_10153683706925138_3308378202319493364_n.jpg
    36.1 KB · Views: 2,670
mabaya Africa mazuri hawayaonagi,,,wanachojua kutuibia rasilimali zetu
 
mabaya Africa mazuri hawayaonagi,,,wanachojua kutuibia rasilimali zetu
Waonyeshe wewe hayo mazuri, na ukiibiwa na ukajua unaibiwa,na ukalalamikia chumbani kwako utakuwa ni lofa tu,chukua hatua
 
Find your source of facts mkuu, no doubt Kigali ni very beautiful city, lakini kumtoa CAPE TOWN iko kazi mkuu, C.T iko kwenye top 12 in the world of more 1000 cities.
 
Kigali ni safi sana ila ni barabara moja tu yaani main road
 
waangalie vizuri hao wadau wana sare kabisa

sio mbaya hata sisi si watuvalishe tuingie town...mbona inawezekana tu. ttz nchi ya madili halafu madili yenyewe sio ya kujiongeza ila ni kuua madili ya wengine then wao wanapenyeza yao hebu ona kuna watu walitaka tusiogelee bure na na ukisikiliza sababu unaweza ukaambiwa eneo lile lina papa wengi so linataka usimamizi wa wataalamu so tuogelee kwa kulipia.........
 
Mkuu umenichekesha kinomaaa
kumbe kwenye hii picha ulikua unatafuta uwepo wa bodaboda tu

ndio ajira yangu ndugu tunamsubiri huyu mzee wa kutumbua majipu labda atamulika pande hizi maana huku kwetu kuna faini za ajabu unapigwa faini mpaka unajiuliza hivi sisi boda boda kosa letu limetoka kwa shetani au la!
 
ndio ajira yangu ndugu tunamsubiri huyu mzee wa kutumbua majipu labda atamulika pande hizi maana huku kwetu kuna faini za ajabu unapigwa faini mpaka unajiuliza hivi sisi boda boda kosa letu limetoka kwa shetani au la!

Yeah bongo wanagonga faini hadi unakiangalia chombo mara mbili unajiuliza hivi ni boxer au chopa namiliki?
 
Back
Top Bottom